Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Hiyo haitoshi labda ahamie vijijini kabisaNamshauri afunge cctv camera nyumbani kwake
Kwani anajua karandinga jeupe lilipo?Mtangazaji wa kipindi cha jana na leo kutokea Wasafi FM ametoa mawazo yake kuhusu suala la utekaji.
Namnukuu Edo Kumwembe,
Utekaji ni suala la hovyo na la kishamba ambalo linachafua taswira ya nchi yetu, mbaya zaidi watekaji wanapata nguvu kwakuwa hawachukuliwi sheria.
Akaongeza, mpaka leo hatujasikia waliomteka Mzee Kibao kama wamekamatwa, wala hatujasikia waliotaka kumteka Tarimo kama wamekamatwa.
Jeshi la polisi halieupuki lawama hizo. Alimalizia Edo Kumwembe!!
Kwani akifunga inasaidia nini?Namshauri afunge cctv camera nyumbani kwake
Ni wanaojulikana ila hayupo mwenyenia ya kuwasumbua.Kwani akifunga inasaidia nini?
Unadhani watekaji wanaogopa kujulikana?
Unamwandikia au?Andika hapo,,,,View attachment 3167471anachokitafuta atakipataa
Huyu atakuwa ni kibaraka wa mabeberu, hana uzalendo iabidi achunguzweMtangazaji wa kipindi cha jana na leo kutokea Wasafi FM ametoa mawazo yake kuhusu suala la utekaji.
Namnukuu Edo Kumwembe,
Utekaji ni suala la hovyo na la kishamba ambalo linachafua taswira ya nchi yetu, mbaya zaidi watekaji wanapata nguvu kwakuwa hawachukuliwi sheria.
Akaongeza, mpaka leo hatujasikia waliomteka Mzee Kibao kama wamekamatwa, wala hatujasikia waliotaka kumteka Tarimo kama wamekamatwa.
Jeshi la polisi halieupuki lawama hizo. Alimalizia Edo Kumwembe!!
....,.........!!!!!!!!Unamwandikia au?
Kwa nini? Sio mda watekaji wataanza kutekwa ,ikumbukwe wapo na familia ,simanishi lazima mtekaji awe ameolewa au hajahoa . Mtangazaji yupo na akili sana ,tukianza ruhusu mambo kama aya nchi itasamaratika je nani anataka tufike kule ? Kama si wahuni wachache , ubaya ubwela sio hii ngoma itakuwa droo.Namshauri afunge cctv camera nyumbani kwake
We jamaa upo? Nilidhani umetekwa maana kimya kitambo sana.
Sasa si amecopy na kupaste tunayojadiri humu kuna lipi jipya hapo? Bibi kizee anaandaliwa katuni akiwa ameshika bastora mkono mmojaMtangazaji wa kipindi cha jana na leo kutokea Wasafi FM ametoa mawazo yake kuhusu suala la utekaji.
Namnukuu Edo Kumwembe,
Utekaji ni suala la hovyo na la kishamba ambalo linachafua taswira ya nchi yetu, mbaya zaidi watekaji wanapata nguvu kwakuwa hawachukuliwi sheria.
Akaongeza, mpaka leo hatujasikia waliomteka Mzee Kibao kama wamekamatwa, wala hatujasikia waliotaka kumteka Tarimo kama wamekamatwa.
Jeshi la polisi halieupuki lawama hizo. Alimalizia Edo Kumwembe!!
EDO BAAAS TENA -ATATEKWAMtangazaji wa kipindi cha jana na leo kutokea Wasafi FM ametoa mawazo yake kuhusu suala la utekaji.