Edo: Yanga ni tegemeo pekee kwa Watanzania

Edo: Yanga ni tegemeo pekee kwa Watanzania

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
"Yanga ndio tegemeo pekee la Tanzania kimataifa, Watanzania wana imani na Yanga inaweza kuleta Kombe la CAF msimu huu, sio timu inashiriki kimataifa ikifaka Robo ishachukua Ubingwa, tutoke huko kwenye mpira wa kizamani,” Edo.

Dauda “Kufika Robo Fainal ni Progress sio achievement.”

01BAAC71-D372-4C2E-AB8C-E3293449C008.jpeg
 
Aulizwe kama amesema haya baada au kabla ya kuangalia pira dhidi ya Geita Gold 😁
Siku hazifanani Mkuu! Si umeona sikuile mlipomtupia Horoya goli za kumwaga..? All in all muhimu point 3..

Pia kumbuka msimu uliopita timu yenu ili ishinde ilibidi either itoke kadi nyekundu kwa timu pinzani au mpewe penalt.. au vyote viwili kwa pamoja!
 
Huyo anazungumza hivyo baada ya Simba kufika hatua hiyo mara kadhaa ila nyuma huko miaka mitano sita kufika group stage tu ulikuwa achievement ya kutosha

Anabweka hivyo baada ya juhudi za simba kuonyesha ni kawaida tu haonii wenzetu target yao ilikuwa group stage tu msimu huu?
 
"Yanga ndio tegemeo pekee la Tanzania kimataifa, Watanzania wana imani na Yanga inaweza kuleta Kombe la CAF msimu huu, sio timu inashiriki kimataifa ikifaka Robo ishachukua Ubingwa, tutoke huko kwenye mpira wa kizamani,” Edo.

Dauda “Kufika Robo Fainal ni Progress sio achievement.”

View attachment 2582161
Kitimoto njoo upige dislike Yako hapa
 
Back
Top Bottom