Edo: Yanga ni tegemeo pekee kwa Watanzania

Edo: Yanga ni tegemeo pekee kwa Watanzania

"Yanga ndio tegemeo pekee la Tanzania kimataifa, Watanzania wana imani na Yanga inaweza kuleta Kombe la CAF msimu huu, sio timu inashiriki kimataifa ikifaka Robo ishachukua Ubingwa, tutoke huko kwenye mpira wa kizamani,” Edo.

Dauda “Kufika Robo Fainal ni Progress sio achievement.”

View attachment 2582161
Infat wa mpira huyu atajua hajui mnafikri ni kama kwenda kujampa msalani? Subirini robo hapo ndio mtajua hamjui
 
Infat wa mpira huyu atajua hajui mnafikri ni kama kwenda kujampa msalani? Subirini robo hapo ndio mtajua hamjui
Unateseka ukiwa wapi?

Screenshot_20230409-212618_Instagram.jpg
 
Sawa endelea kuamini ni vibonde hivyo hivyo. Leo kulikuwa na mchezo kati ya ES Tunis dhidi ya Monastir. ES Tunis wakiwa nyumbani imeshindwa kupata alama tatu mbele ya Monastir.View attachment 2582396
Unafeli wap? Ligi za ndani sio sawa na mashindano ya CAF aseee....
Ihefu kaifunga Yanga kwahiyo Ihefu angeweza kuongoza group aliloongoza Yanga CAFCC yaan group D?
 
"Yanga ndio tegemeo pekee la Tanzania kimataifa, Watanzania wana imani na Yanga inaweza kuleta Kombe la CAF msimu huu, sio timu inashiriki kimataifa ikifaka Robo ishachukua Ubingwa, tutoke huko kwenye mpira wa kizamani,” Edo.

Dauda “Kufika Robo Fainal ni Progress sio achievement.”

View attachment 2582161
Labda kwa kuliiba..,
 
Unafeli wap? Ligi za ndani sio sawa na mashindano ya CAF aseee....
Ihefu kaifunga Yanga kwahiyo Ihefu angeweza kuongoza group aliloongoza Yanga CAFCC yaan group D?
Swala sio ligi ya ndani wala ya nje bali ni ubora wa timu. Kama Ihefu Ihefu anauwezo wa kumtoa bingwa mtetezi na pia kufuzu robo fainali ya michuano ya CAF interclub na kwenye ligi akawa katika nafasi nzuri ya kubeba ubingwa au kupambana top four basi hakuna shaka atakuwa ni miongoni mwa timu iliyo bora.

Labda nikuulize swali, endapo Far Fabat imemfunga Wyydad goli tatu kwa sifuri kwenye ligi, je CAFCL kama wangekutana ni kipi kingebadilisha ubora wa timu hizi mbili?

Usichanganye uwezo/ubora wa timu vs mashindano. Timu nzuri, popote pale anakubana haijalishi ni shindano gani. Nilikuwa nakuonesha mzani wa ES Tunis na Monastir ulivyo. Kwahiyo usichukulie kuwa timu kwavile inafungwa na Yanga ni mbovu.
 
Makolo wakifika robo fainali kwao wanahesabu wamechukua kombe kabisa
 
Swala sio ligi ya ndani wala ya nje bali ni ubora wa timu. Kama Ihefu Ihefu anauwezo wa kumtoa bingwa mtetezi na pia kufuzu robo fainali ya michuano ya CAF interclub na kwenye ligi akawa ....

Labda nikuulize swali, endapo Far Fabat imemfunga Wyydad goli tatu kwa sifuri kwenye ligi, je CAFCL kama wangekutana ni kipi kingebadilisha ubora wa timu hizi mbili?Timu nzuri, popote pale anakubana haijalishi ni shindano gani. Nilikuwa nakuonesha mzani wa ES Tunis na Monastir ulivyo. Kwahiyo usichukulie kuwa timu kwavile inafungwa na Yanga ni mbovu.
Monastir ni timu ya kawaida sana haimanishi kwamba kasare na Es Tunis ndo kwamba Yanga amecheza na timu ya kibabe barani Afrika haipo hivyo, et au Yanga nae anawaweza kuwatoa hao Es Tunis kwasasa ndoto ya mchana hizo.
Yani ikiwa hivyo unavyotaka wewe sasa basi Wydad CA kashatolewa kwenye robo na Simba SC kwa kuangalia uzani wa mechi baina ya Simba SC vs AS Vita na AS Vita vs Wydad CA za hivi karibuni group stg
 
Ni mmojawapo wa wahandishi wa habari mwenye uelewa wa anacho kiandika.

Kuna baadhi ya wenzake ni vichwa viazi kama hakina Binti Kazumali!
Duh! Tayari nimekuelewa wewe ni aina gani ya shabiki kwenye soka mnakitengo chenu.
Edo: "Pape Othumane Sakho akiitwa timu ya taifa mimi EDO KUMWEMBE naacha kazi WASAFI".
Sasa wewe huo ndo unaita uelewa sio?
 
"Yanga ndio tegemeo pekee la Tanzania kimataifa, Watanzania wana imani na Yanga inaweza kuleta Kombe la CAF msimu huu, sio timu inashiriki kimataifa ikifaka Robo ishachukua Ubingwa, tutoke huko kwenye mpira wa kizamani,” Edo.

Dauda “Kufika Robo Fainal ni Progress sio achievement.”

View attachment 2582161
Huyu LGBT hatupagi shida akishalewa anaanzaga kufikiri kwa kutumia matacle
 
Back
Top Bottom