Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
. Tu shafika, ila point hatuna, kasema ukweliNgoja waje wale wenye nongwa! Watapinga, huku wakimtukana kila aina ya matusi. Kumbe mtu ametoa tu maoni yake.
Siku hazifanani Mkuu! Si umeona sikuile mlipomtupia Horoya goli za kumwaga..? All in all muhimu point 3..Aulizwe kama amesema haya baada au kabla ya kuangalia pira dhidi ya Geita Gold 😁
Siku hizi hiyo imekuwa kwa Yanga. ndio maana nikasema, ameona mechi za hivi karibuni?Pia kumbuka msimu uliopita timu yenu ili ishinde ilibidi either itoke kadi nyekundu kwa timu pinzani au mpewe penalt.. au vyote viwili kwa pamoja!
Wenye Magonjwa Mtambuka sio?Ngoja waje wale wenye nongwa! Watapinga, huku wakimtukana kila aina ya matusi. Kumbe mtu ametoa tu maoni yake.
Msongo wa mawazo, ni ugonjwa mbaya sana. Yaani unamfanya mgonjwa kujiona ni mzima, kumbe anahitaji matibabu ya haraka.Wenye Magonjwa Mtambuka sio?
Yanga amecheza vs Club African, Tp Mazembe, Real Bamako, Monastir, je kuna mchezo wowote ambao Yanga walishinda kwa penati au kwa timu kuwa pungufu?Siku hizi hiyo imekuwa kwa Yanga. ndio maana nikasema, ameona mechi za hivi karibuni?
Wacha kiherehereNgoja waje wale wenye nongwa! Watapinga, huku wakimtukana kila aina ya matusi. Kumbe mtu ametoa tu maoni yake.
Lile bichwa limejaa makamasi tuHuyu jamaa tangu aseme kuwa Sakho akiitwa timu ya taifa Aya acha kazi nilisha mdharau.
Kitimoto njoo upige dislike Yako hapa"Yanga ndio tegemeo pekee la Tanzania kimataifa, Watanzania wana imani na Yanga inaweza kuleta Kombe la CAF msimu huu, sio timu inashiriki kimataifa ikifaka Robo ishachukua Ubingwa, tutoke huko kwenye mpira wa kizamani,” Edo.
Dauda “Kufika Robo Fainal ni Progress sio achievement.”
View attachment 2582161
Swali zuri saanaaaYanga amecheza vs Club African, Tp Mazembe, Real Bamako, Monastir, je kuna mchezo wowote ambao Yanga walishinda kwa penati au kwa timu kuwa pungufu?