Edo: Yanga ni tegemeo pekee kwa Watanzania

Ana akili sana Edo Kumwembe
 
Yanga amecheza vs Club African, Tp Mazembe, Real Bamako, Monastir, je kuna mchezo wowote ambao Yanga walishinda kwa penati au kwa timu kuwa pungufu?
Vibonde tupu apo sijaona timu msimu huu ya kujisifia et umeifunga, yan angalau msimu huu ungemfunga Al Hilal omd ungetamba ila sio kwa uchafu huo ulioutaja hapo juu aisee shemuoniyu... Pua luza¡¿
 
Vibonde tupu apo sijaona timu msimu huu ya kujisifia et umeifunga, yan angalau msimu huu ungemfunga Al Hilal omd ungetamba ila sio kwa uchafu huo ulioutaja hapo juu aisee shemuoniyu... Pua luza¡¿
Sawa endelea kuamini ni vibonde hivyo hivyo. Leo kulikuwa na mchezo kati ya ES Tunis dhidi ya Monastir. ES Tunis wakiwa nyumbani imeshindwa kupata alama tatu mbele ya Monastir.
 
Yanga amecheza vs Club African, Tp Mazembe, Real Bamako, Monastir, je kuna mchezo wowote ambao Yanga walishinda kwa penati au kwa timu kuwa pungufu?
mbona ni kama vile unairuka Geita Gold? 😁
 
Simba ikifanikiwa kuingia nusu Final....

Zitaibuka nyuzi kibao zenye title...

"Simba SC mwisho wake umefika, haitoingia final."

AWBM OKOK EIYN IZUBMAHCAW ARAWHCU
Unamaanisha nusu fainali ya klabu Bingwa Afrika, baada ya kumtoa Wydad Casablanca!!

Ikitokea hivyo, nitakuwa mtu wa kwanza kuwapongeza.
 
mbona ni kama vile unairuka Geita Gold? [emoji16]
Geita Gold anashiriki michuano ipi ya CAF? mlikuwa mnaimba nyimbo za bahasha bahasha kwenye kimataifa hamfiki robo, saivi mmehamia kwenye wimbo wa vibonde.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…