Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Infat wa mpira huyu atajua hajui mnafikri ni kama kwenda kujampa msalani? Subirini robo hapo ndio mtajua hamjui"Yanga ndio tegemeo pekee la Tanzania kimataifa, Watanzania wana imani na Yanga inaweza kuleta Kombe la CAF msimu huu, sio timu inashiriki kimataifa ikifaka Robo ishachukua Ubingwa, tutoke huko kwenye mpira wa kizamani,” Edo.
Dauda “Kufika Robo Fainal ni Progress sio achievement.”
View attachment 2582161
Unateseka ukiwa wapi?Infat wa mpira huyu atajua hajui mnafikri ni kama kwenda kujampa msalani? Subirini robo hapo ndio mtajua hamjui
Unafeli wap? Ligi za ndani sio sawa na mashindano ya CAF aseee....Sawa endelea kuamini ni vibonde hivyo hivyo. Leo kulikuwa na mchezo kati ya ES Tunis dhidi ya Monastir. ES Tunis wakiwa nyumbani imeshindwa kupata alama tatu mbele ya Monastir.View attachment 2582396
Labda kwa kuliiba..,"Yanga ndio tegemeo pekee la Tanzania kimataifa, Watanzania wana imani na Yanga inaweza kuleta Kombe la CAF msimu huu, sio timu inashiriki kimataifa ikifaka Robo ishachukua Ubingwa, tutoke huko kwenye mpira wa kizamani,” Edo.
Dauda “Kufika Robo Fainal ni Progress sio achievement.”
View attachment 2582161
Bora usemee shangaziii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mm anitoe sio tegemeo langu[emoji3]
😂😂Et shangazi tangu lini nimeanza kuitegemea Yanga washindwe😂😂😂Bora usemee shangaziii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Swala sio ligi ya ndani wala ya nje bali ni ubora wa timu. Kama Ihefu Ihefu anauwezo wa kumtoa bingwa mtetezi na pia kufuzu robo fainali ya michuano ya CAF interclub na kwenye ligi akawa katika nafasi nzuri ya kubeba ubingwa au kupambana top four basi hakuna shaka atakuwa ni miongoni mwa timu iliyo bora.Unafeli wap? Ligi za ndani sio sawa na mashindano ya CAF aseee....
Ihefu kaifunga Yanga kwahiyo Ihefu angeweza kuongoza group aliloongoza Yanga CAFCC yaan group D?
Monastir ni timu ya kawaida sana haimanishi kwamba kasare na Es Tunis ndo kwamba Yanga amecheza na timu ya kibabe barani Afrika haipo hivyo, et au Yanga nae anawaweza kuwatoa hao Es Tunis kwasasa ndoto ya mchana hizo.Swala sio ligi ya ndani wala ya nje bali ni ubora wa timu. Kama Ihefu Ihefu anauwezo wa kumtoa bingwa mtetezi na pia kufuzu robo fainali ya michuano ya CAF interclub na kwenye ligi akawa ....
Labda nikuulize swali, endapo Far Fabat imemfunga Wyydad goli tatu kwa sifuri kwenye ligi, je CAFCL kama wangekutana ni kipi kingebadilisha ubora wa timu hizi mbili?Timu nzuri, popote pale anakubana haijalishi ni shindano gani. Nilikuwa nakuonesha mzani wa ES Tunis na Monastir ulivyo. Kwahiyo usichukulie kuwa timu kwavile inafungwa na Yanga ni mbovu.
Duh! Tayari nimekuelewa wewe ni aina gani ya shabiki kwenye soka mnakitengo chenu.Ni mmojawapo wa wahandishi wa habari mwenye uelewa wa anacho kiandika.
Kuna baadhi ya wenzake ni vichwa viazi kama hakina Binti Kazumali!
Huyu LGBT hatupagi shida akishalewa anaanzaga kufikiri kwa kutumia matacle"Yanga ndio tegemeo pekee la Tanzania kimataifa, Watanzania wana imani na Yanga inaweza kuleta Kombe la CAF msimu huu, sio timu inashiriki kimataifa ikifaka Robo ishachukua Ubingwa, tutoke huko kwenye mpira wa kizamani,” Edo.
Dauda “Kufika Robo Fainal ni Progress sio achievement.”
View attachment 2582161