Edson Mabele wa kipindi cha Wallpaper - Star Tv

ni mshambaa hana swagga halafu ye anajiona born town mbayay

hahahhah msaide ushauri sasa. mi naanza kwa ushauri no:1 atafute mtu au mshauri wa mavazi au waa kumvalisha maana yale mavazi ni kama anakua katoka kufyatua matofali nikiangaliaga zile raba na kile kijinsi chake huwa nabadilisha channel faster, we H.E ongezea na wewe
 

Yaani usingeitoa wewe leo ningeiandika mimi kesho, kwakweli huyu kaka anahitaji msaada, na kile kislogani chake cha cherehani tararara..tararara nachekaga mpaka nakoma nabadili channel faster kama hakuna cha kuangalia bola niangalie katuni
 
Yan hta m nlikuwa nataman niseme hli swala, yan kwanza production2 ni balaa, mirang ya hovyohovyo mpaka macho yanauma, yan mi huwa naangalia tamthilia kwa shda2, hirachy ya hii kampun ya sahara media cdhan km wapo sawa kitaaluma, tatzo kupeana kwing, ptuuuuu....!
 
Asante kwa kuwakilisha hilo kipindi kizuri ila jamaa swagger zero
 
Zaidi ya BBC Swahili na taarifa ya habari kwa mbaaaali huwa siangalii Star Tv...
 
Watu wa humu mnajua kuchamba jamani, yani kaka wa watu akipita humu nahisi anaweza akaghairi kutangaza siku hiyo hahaha

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Kutokana na majukumu na mbio za maisha. nakosa muda wa kufatilia TV. Ila kuna siku niliona hiyo kipindi mwanzo nilizani ni "futuhi" ile comedy ya STAR TV, Seriously
 
yaani sana tu mkuu...

Mkuu kwanza skuwahi kufaham ratiba ya star tv, kuna sku nime_tune mida ya saa11 jioni ndo namkuta huyo jamaa yako, aseee nlichoka kabisa, jamaa hana Swaga yan ule mguso wa kuendelea kumtazama unapotea kabisa.

Jamaa sidhan kama yuko na washauri wazuri, hizo nguo anazovaa yan haziko systematic kabisa, kama ni tamthini nampa 46%, ajitahidi kubadilika aseee.
 
EATV sijui wana uchawi gani wale.....Majuzi nilikuwa naangalia habari kwenye hotmix ni noumaa ule mpangilio na usomaji hata habari za ITV cha mtoto.........Watangazaji wao sijui wanawatoa wapi......Production zao kali sana......hata kipindi cha skonga tulichojua kitakufa sasa hivi kinaendeshwa na wanafunzi wenyewe na wanaandaliwa vizuri hadi unashangaa........Kibongo bongo EATV ni next level kwa kila kitu.
Muangalie Musa Hussein wa sasa kwenye mwanadsm kule Clouds tv kama unaweza kuona kama yuko kwenye hata robo ya ubora alivyokuwa EATV!
 

Mkuu kwan Alan hatangazi tena skonga? Huwa siangalii mara kwa mara.
 

Kile kipindi cha skonga mkuu mimi nakipenda japo mtu mzima haswa sehemu Q&A pale nachekaga sana pale wanafunzi wanavyombwelambwela.
 

Ujawahi kumuona ila maelezo kibao,nadhani ungemuona server ya jf ingejaa kabisa...kweli nshomile kwa ujuaji siwawezi.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…