Tetesi: Edward Lowasa ahaha kusaka bilioni 10 alizokopa kwa Rostam kugharamia Uchaguzi Mkuu wa 2015

Status
Not open for further replies.
Ziwatafune
 
Lowasa dawa ya deni ni kulipa bhana... Hahahaha mtoto wa mjini Mbowe kamuingiza mjini....
 
Lowasa dawa ya deni ni kulipa bhana...
 
Sitaki kuamini kama Edward bado ni tishio kiasi hiki..
 
Zile fedha za "ufisadi wa RICHMOND" ziko wapi? Si azitumie hizo kumlipa Rostam?
 
Lowasa dawa ya deni ni kulipa bhana... Hahahaha mtoto wa mjini Mbowe kamuingiza mjini....
Mkuu, hakika Lowasa kaingia choo cha kike. Hapa kavurugwa ile mbaya na ile michongo waliyoiweka Halmashauri imebuma baada ya vyanzo vingi kudhibitiwa na TRA
 
Zile fedha za "ufisadi wa RICHMOND" ziko wapi? Si azitumie hizo kumlipa Rostam?
Kwani zile mlizokuwa mnatafuna vijana wa 4U MOVEMENT na sasa ULIPO TUPO zilikuwa zinatoka wapi? Zile alizokuwa anagawa makanisani na misikitini zilikuwa zinatoka wapi?
 
Kwani zile mlizokuwa mnatafuna vijana wa 4U MOVEMENT na sasa ULIPO TUPO zilikuwa zinatoka wapi? Zile alizokuwa anagawa makanisani na misikitini zilikuwa zinatoka wapi?
Unakumbuka Richmond jamaa "alipiga" Bilioni 450? Hata kama tungekuwa mchwa tusingeweza kuzila hata theluthi!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…