Dwaso
Member
- Jul 6, 2016
- 44
- 22
Kula tano[emoji109]Nina maswali mawili madogo
1.... ni utawala wa chama gani ambao ulikuwa unabeba hizo Biashara za Rostam?
2..... Kama alimkopesha kwa makubaliano yao shida iko wapi? mbona hata serikali inakopa?
Yani anaongelea lowasa kukopa wakati serikali pia ina madeni yasiyowezekana kuyalipa kwa wakati na bado inataka kukopa tena hahahahhahh kweli nyani aoni kundule.