Tetesi: Edward Lowasa ahaha kusaka bilioni 10 alizokopa kwa Rostam kugharamia Uchaguzi Mkuu wa 2015

Status
Not open for further replies.
Lowasa huyuhuyu mnaemwita fisadi aliezishika pesa tangu awamu ya kwanza na sasa awamu ya tano yupo na ni habari kubwa ktk siasa anadaiwa bil 10?
 
Lizaboni huyo na hekaya motomoto. Baada ya kuona Nairobian ametunga hadithi bora zaidi, ameamua kuja na utunzi wa Kinyerezi. Nia ya Lizaboni kuja harakaraka na hii story za kuungaunga ni kuhakikisha hafunikwi na watunzi wapya kama akina Nairobian.
Lizaboni= Mkuu wa mkoa?
 
Moderator hii post haina chanzo cha uhakika na bado munaiacha au nanyie mumethibitisha kuwa ina Ukweli?
Siyo ya CCM, hivyo haina madhara. Kwani huu uzi unaweza kuwafungia mtamdao wao? Put this thread the other way round, utaona!
 
Hahhahahah huyu Jamaa kwa kuota lowassa hahahah unataman uolewe na mtoto wa lowassa au bimdogo wa lowassa?
 
Kwa nini Mamvi asikiuze tena chama kwa mdau mwingine?
 
Hivi TCRA kazi yao ni ipi? Inakuaje wapuuzi kama hawa wanaachiwa tu waandike wanavyotaka? Hivi kwa mfano mtu kama huyu habari kama hii angeandika kwa kumuhusu kiongozi toka upande wa CCM angeachiwa kweli? Hebu TCRA wajaribu kuwa objective jamani ili tuwe na imani nao.
 
Aaah kumbe kapost 'lizabon'...buku 7 manager
 
Mkuu usishangae nasikia ccm wa hisa zao Na huu mtandao kwa hiyo usitegemee post za ccm kufutwa.
 
Nikuwa very much interested kusoma hii threat but nilivyoona LIZABONI hata sikupata mood ya kuendelea coz huyu jamaa anajitoaga ufahamu hata kwenye mambo ya msingi yy anawazaga chama cha kijani tuu!
 

Nina maswali mawili madogo

1.... ni utawala wa chama gani ambao ulikuwa unabeba hizo Biashara za Rostam?
2..... Kama alimkopesha kwa makubaliano yao shida iko wapi? mbona hata serikali inakopa?
 
Lizabon cjawah ona kilaza Kama wew yani.Aliyekutum mwambie tupo tunamngoja.Nenda mundul kawaulize wanajesh kwann wanampenda n hawakubali kuingilia upuuzi humjui wew kaaa kimya.Izo tetesi zako peleka ccm.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…