Kula tano[emoji109]Nina maswali mawili madogo
1.... ni utawala wa chama gani ambao ulikuwa unabeba hizo Biashara za Rostam?
2..... Kama alimkopesha kwa makubaliano yao shida iko wapi? mbona hata serikali inakopa?
Hata mimi nashangaa, kwa "fisadi" wa miaka nenda rudi kukosa bilioni 10, Lizaboni hebu kuwa serious basi!Lowasa huyuhuyu mnaemwita fisadi aliezishika pesa tangu awamu ya kwanza na sasa awamu ya tano yupo na ni habari kubwa ktk siasa anadaiwa bil 10?
Ni akili ya kijinga pekee yake inayoweza kufananisha serekali na lowasa kwa kitu chochote kileKula tano[emoji109]
Yani anaongelea lowasa kukopa wakati serikali pia ina madeni yasiyowezekana kuyalipa kwa wakati na bado inataka kukopa tena hahahahhahh kweli nyani aoni kundule.
Pia ni akili ya kipuuzi na ni ujingaNi akili ya kijinga pekee yake inayoweza kufananisha serekali na lowasa kwa kitu chochote kile
Hahaha mwaka 1972 lowassa alikuwa wapi? Wakati huo lowassa hat chuo hajaenda na alikuwa na miaka 19 tu na kwa kigezo icho hata form 4 hajamaliza pesa alitoa wapi. Wkt mwingine muwe mnapima uongoWw hujui propaganda
Tafuta mume akuoe tatizo ni kuvizia vi bwana vya watu huko ccm na io sura mbaya ndo kabisaa utaishia kuwa kuu kuu
Humjui lowasa ww
Muulize mwinyi mkapa kikwete watakwambia kama lowasa ni mtu wa kukopa vihela vya chai ivo
Mwaka 1972 account ya lowasa ilikuwa na shilingi laki 3 mshahara wa raisi nyerere ulikiwa ni 4000 kwa mwezi unataka kutuambia nn ww
Humjui lowasa wala rostam kaa kimya