Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Maalim kichwa ngumu, Juma duni MTU makini sana lkn nae kaingizwa cha kike
Duni hana lolote...alijawa tamaa ya madaraka.
Hakujali anayapataje.
Akacheza kiini macho cha uhamisho feki kwenda Chadema.
Tatizo ya mambo feki huwa yanabumburuka vibaya sana.
 
Lipumba atarudi Ukawa? Slaa atarudi Chadema?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujitambui zwazwa wewe, mie najitambua mpumbavu wewe si kama huyu malaya wa kisiasa anayehaha huku na kule ili kujaza tumbo lake na uongo wake uliokubuhu.


Malaya ni ww lakin lowasa kutusaidia kuthibitisha ukweli wa prof lipumba na dk slaa .
Lipumba ndio kazuia cuf kuuzwa
 
Dr Slaa si mwanasiasa tena hivyo hayana impact kwake. Alafu kumbe mlikuwa mnajua hizi blunders lakini mlivyokuwa mnamtetea sasa! Tukiwaita wanafiki tunakosea mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Slaa alirudi ccm kwa kwa sababu lowasa kwenda chadema,sasa mamvi karudi ccm tuone kama slaa atakimbia(tunajua hatasema kitu sababu kawekewa keki mdomoni)
 
Lowasa huwa hana siasa za hivyo(labda jiwe limpe sharti hilo kwa sasa)
 
Mtajiuliza maswali mengi majibu wala hamtoyapata aliingia usiku chadema watu wasimuone ametoka mchana kweupe watu wanamuona!
Ninachokuuliza wewe kada wa Lumumba, je ufisadi wake umetoweka ghafla, hadi siku ya kurejea kwake CCM apokelewe na viongozi wakubwa kabisa ndani ya nchi, Rais Magufuli na Waziri Mkuu wake Kassim Majaliwa??
 
Yule mzee ni afadhali tu acheni aende bhna mana mtu mwenyew ata kutembea hawezi ^hakua na msaada wowote kwetu bora katupunguzia mzigo [emoji58]
Mbona wakati mnaambiwa mambo haya mlikuwa wakali, kejeli na maneno kibao???
 
Niliisubiri hii Siku kwa hamu kuwaona kina maalim seifu na mbowe wakiumbuka. Lipumba roho ilimsuta aliona mbali. Hence proved prof ni prof tu
Kwa walivyo wanafiki hutawaona hapa kujibu hoja yako
Mambo ya siasa ni mtu mwenyewe na maslahi yake. Hizo safari za Ikulu na kusifiana kote mulitegemea nini. Ukizingatia vyombo vya Dola vikinyemelea maslahi yao.

Africa na hasa Tanzania hamna kitu. Labda CCM itenganishwe na vyombo vya Dola na vya maamuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini CHADEMA ndiyo walianza kumuita Lowasa fisadi, baadae akahamia kwao na akapokelewa kwa heshima kubwa kama mkombozi, gia zikabadilishwa angani,
 
siku zote nimekuwa nikisema Lowasa haaminiki nilitukanwa, mmeona wenyewe kuwa hili limeru..masai halina lolote zaidi ya kutafuta pesa na heshima pekee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…