Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Yaonyesha Lowassa alikuwa chadema ila anajua ratiba zote za ccm. Jana kawalia taiming wapo kwenye kikao cha chama akaibuka. Ikabidi wahairishe kikao na shughuli iwe kumpokea yeye. Sio kwamba Magufuli alienda kumpokea, alikuwapo hapo kwa shughuli za chama.
 
'I will give him an offer he cannot refuse.'
Soon parts of the price tag will surface up.
 
Ni lazima Mbowe nae atoke. Ampe chama Mnyika.
 
Kabisa mkuu...kuna watu utasikia anasema "kaguswa Mh Rais na viongozi wakubwa wewe ni nani usiyeguswa" hizi ni akili za kiduwazi kabisa hata hao wengine walioenda msibani na kulia sana si kama wana uchungu ni kwakuwa tu huu msiba umekuzwa sana na hiyo media na watu wengine kutafuta fonti peji
Na mimi pia, ni msiba kama misiba mingine tu iliyotokea juzi na jana na leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaeiua chadema ni mbowe.....!!!!

Ngoja aendelee kusota huko! Akamwekaa katibu mkuu wa ma vyeti, hana ushawishi wowote kwa wananchi....!!! Inabidi wajipange upya! Katibu mkuu kiatu kimewapwaya!
 
wanasema ukiwa umefiwa basi unaweza kudhani ni dunia nzima ina majonzi lakini kiuhalisia huko duniani maisha yanaendelea kama kawaida, mara yangu ya kwanza kupatwa na msiba mzito nilijifunza hilo, wakati mimi natokwa na machozi na kamasi waliokuja msibani walikua wanapiga stori na kunywa bia!
so... yeah Lowasa ni muhimu kwa JPM!
 
kura za uraisi nipatie mimi na wabunge wengi wa ccm..huyu mamvi huwa simwelewi kabisa.
alimzuia mke wake asiteuliwe viti maalum,akamzuia mtoto wake asigombee kwenye marudio ya uchaguzi kumbe alikuwa na la kwake jambo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba mamvi mmoja alikuwa na akili kuliko chama kizima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee amevuka kiwango cha unafiki ni malaya wa kisiasa kama alivyowahi kusema baba wa taifa
 
kwani aliondoka lini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Rostam ni mwanachama wa ccm bepari mkubwa. Chama cha kijamaa yafaa kumshika hatamu maana dini ya bepari ni faida 'profits'. Siamini bepari rostam azzizi ni kama bepari mengi ambae ana roho ya huruma kwa maskini anapenda haki na ana upendo kwa jamii. Ccm iwe macho usiku na mchana wanachama bepari wasije teka chama kwa faida yao kwa mara ya pili.
 
Kwani Ruge kufa kwake kuna mchango wowote katika maisha ya watanzania? Vipi huduma za afya zitapatikana? Vipi elimu itaboreshwa kwa sababu ya msiba wa Ruge? Vipi huduma ya maji? Vipi mafao ya wastaafu ambao wameitumikia nchi yao for more than 40years? Nchi ina mambo lukuki ya kufanya wewe unaleta habari za msiba wa Ruge? What a shame comrade? Kuna watanzania kibao wamefiwa na wapendwa wao mbona serikali haijawapa pole?
Kuhusu Lowasa; serikali ya Magufuli haina dhamira yoyote ya kuwasaidia watanzania ndiyo maana tukio la Lowasa kurudi CCM limekuwa gumzo kwa sababu Magufuli anafikiria uchaguzi tu, anaota kuendelea kushika dola hata kwa miongo saba, kwa hiyo linapokuja swala la kisiasa lenye sura ya kumfanya Jiwe aendelee kukaa madarakani, hakuna kitu chochote kitakacho kuwa na umuhimu zaidi ya hicho.
In short matukio yote yaani msiba wa Ruge na Lowasa kurudi CCM hayana tija yeyote kwa watanzania, ni upuuzi tu wa kukosa utashi wa kisiasa na kutafuta kiki za kisenge!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
watu wa ajabu sana,kwahiyo unataka kila mtu amlilie huyo uliyemtaja.When u die the game is over hata tungeimba nyimbo za kila aina haisaidii
 
Chama kilishaenda tayari, unataka kiende Mara ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwanamke unamtuhumu kwa tabia chafu , unamuacha anaolewa na mwanaume mwingine anakaa weee kisha wewe unaendlea kumtuhumu... baadae anaondoka alikosnda kuolewa tena ukidai aliolewa kwa kununua taasis leo karudi wewe unashangilia ati wapanikk? si mlisema oil chafu?
NI KWAKUWA TAIFA LINAONGOZWA NA VICHAA TU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…