Raja Casablanca
JF-Expert Member
- Dec 14, 2017
- 706
- 368
Kwani lazima apewe? Yeye amesharudi atulie huko. We need vibrant minds to be Chancellors na sio kugawana tu kama matuta shambaniWasimsahau kumpatia heshima ya kuwa mkuu wa chuo kama walivyo wastaafu wengine
Ahahahaaa . . . . . . hii kali zaidi, siku hiyo kutazizima dunia nzimaSiasa bhana....unaweza kuamka asubuhi nakuskia Lissu yuko CCM
Asante mkuu kwa synthetic opinionI guessed ER he was always there as a CCM patriotic Political agent, Nothing wonderful
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii stance ya Dr Slaa ni mtambuka. Nchi inasubiri comment zake. Ila kwa tunavyomjua, atatupa jibu la kifalsafa zaidi tutaduwaa. Zaidi tutamshuhudia matendo yakeDr Slaa atahama ccm? Kinyesi sasa kimekuja chumbani Haya huyo jiwe wenu ndio anapambana na mafisadi kwa style hii? Seriously?
Sent using Jamii Forums mobile app
Siasa za upinzani kwa nchi hii ni ngumu sana. Inataka moyo wa ujasiri, subira na kumtanguliza MunguMzee kakumbuka Pensheni yake , Upinzani Tanzania ni mgumu sana !!
Sent from my Iphone using Tapatalk
Chadema inaonekana kutokuwa na strategy ya kujikosoa yenyewe tofauti na CCM walivyo. Japokuwa CCM wanafanya kwa kiwango kidogo, Chadema hawafanyi kabisa. Bila kujitathmini, kujikosoa wenyewe na kujirekebisha, Chadema itakuwa sikio la kufaChadema inamalizwa na wanachadema wenyewe!!! Angalieni hata comments zao baada ya tukio hili!!! Naomba muweke kumbukumbu hii, bila kutubu makosa ya 2015 na kuwajibika tusitarajie mabadiliko ya kisiasa. Chadema inaenda kuwa NCCR mpya, mark my word!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili nalo neno. Na hasa wanasiasa wa Afrika, wote ni walewale, upuuzi mtupuwanasiasa wote wanafanana,sio ccm wala chadema.Hutakiwi kumwamini mwanasiasa.
Quite a good question that was undermined by the very few foolish minds
Duuuh . . . . . such a fantastic opinion. Ila mzee huoni kwamba Apson alikuwa 'kikazi' kwa Lowasa?naona kama vita ya 2015 bado mbichi....mzee kahisi tishio la jasusi kaona na yeye aunde kambi yake yenye nguvu...hiyo ndio siasa...sasa...kumbuka rostam na apson ni team lowassa na wameshafika kwa mzee....nadhani hapa kuna makubaliano...
Kama ilivyo kawaida, endapo atajitokezza kiumbe kumkashfu au KUMSEMA vibaya Lowasa Basi ajiandae kupambana na jeshi la polisi.
Awali maneno yake yalikuwa ya uchochezi ila leo Mhe. Dingilai kasema amefutiwa dhambi zake na amekuwa mpya.
Usimtamkie mabaya mzee wetu, Msukuma yule jamaa yako uliyemtusi amerudi kwao Sasa jiandae kumfanya rafiki ukigoma acha chama.
Nape mzee karudi so jiandae kumsujudia,
Makonda jiandae kumsalimia kwa heshima mzee baba la sivyo utapoteza ukuu wa mkoa.
Ridhiwan baba karudi, ulimkejeli Sasa amerejea jamvini
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninaamini kabisa kama wahenga walivyosema, hata shetani azeeke namna gani hawezi kuwa malaikaShetani hajawahi kuongoka. Sasa timu ya wenyewe huko ccm imekamilika. 1. EDWARD LOWASA 2.ROSTAM AZIZI na 3 ANDREW CHENGE. ccm mbele kwa mbele wizi ni mila yetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
LUGHA YA KIFISIEMU "HUYO MHINDI KWENYE HIYO PICHA NI NANI?" Kwenye ngazi za juu za chama?View attachment 1035360
View attachment 1035365
Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa Amerejea Rasmi CCM Leo.
Amepokelewa Lumumba Makao Makuu Madogo Ya Chama Cha Mapinduzi Na Katibu Mkuu Dr Bashiru Ally.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwani kama angebaki angedhurika? Na ni nani ambaye angemdhuru kama kweli angedhurika kwa kutoondoka nchini?Kama zinavyodumu za Mangi. Akisema hakuna wa kupinga. Hata alipomleta mgeni wenu wote mlishangilia. Kasoro Dr. Naye ili awe salama basi ilimbidi akimbie nchi..
Labda tusubiri mwenyekiti atakapo toka rumandeLowassa alipojiunga Chadema tuliona mbwembwe za Mwenyekiti chadema Freeman Mbowe akiitisha press conference akiongea kwa complex superiority na mbwembwe nyingi kutamgaza ujio wa Lowassa Chadema.Mbona Mbowe hutoi tamko kulikoni? Unaumwa au?
Huyo no.1 kwenye orodha yako aliondoka CCM miaka kadhaa iliyopita huku akipata support ya kutosha toka kwa uliyemuweka no.2. Swali ni je, walikokuwa kabla ya kurudi CCM walikuwa wanaiba ama kuendeleza wizi unao usema? Na, mwenyekiti si ndiye ambaye alituaminisha sisi wananchi ya kuwa ni msafi baada ya kufanya kampeni kwa miaka 8 dhidi ya orodha ya mafisadi papa naye akiwemo?Shetani hajawahi kuongoka. Sasa timu ya wenyewe huko ccm imekamilika. 1. EDWARD LOWASA 2.ROSTAM AZIZI na 3 ANDREW CHENGE. ccm mbele kwa mbele wizi ni mila yetu.
Sent using Jamii Forums mobile app