SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Dah...mnanichanganya kwelikweli....hivi ni CCM imemnunua Lowassa au Lowassa kainunua CCM?[emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment VID-20190302-WA0004.mp4Hahahahahhaaaaaaha.
Siasa za Tanzania ni kama Simba na Yanga, ni mchezo tu. Wachezaji baada ya mechi wako pamoja lakini washabiki kiwanjani wanakufa kwa ugonjwa wa moyo.
Mh Lowassa amerudi nyumbani.full stop.Sote runakumbuka Vividly wakati Lowassa alipogamia CHADEMA tuliambiwa huku watu wakiapa viapo vya Miungu yao bila hata ya aibu Usoni
Hayaaa hayo yalipita Ping imekuwa Pong je Lumumba nayo Karudi Kwa kiasi gani?
Huko nyuma tuliambiwa Ooh!! Mwenyekiti Mhe Freeman Aikaeli Mbowe Kavuta Billioni sita Kaenda kuzichimbia Dubai na kwamba Dubai ana akaunti kibao kwa hiyo CHADEMA ni SACCOs yake Binafsi...Mara Ooh!..yeye na BAmkwe wake.
Mambo yameshadhihirika kwa wananchi CCM ilikuwa ikiwalisha Shubiri Mwitu wakishushia na juisi ya Matango Pori..
CCM kimeishiwa Mbinu na Uongo na huwa wanaamini ili Upate Uongozi lazima uwe Muongo.
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kimesingiziwa mengi ila sasa ni zamu ya wananchi kutafakari kura zao walizipoteza kwa kuitumbukizia CCM mimi Binafsi najuuuta ba Kusaga Meno kwanini niliitumbukizia CCM
Ila Never Again!
Peoples Power
Azimio la Zanzibar 2 ni lini litafanyika tunalisubiri kwa hamu.
Mh Lowassa karudi nyumbani
Kweli nakumbuka walisema Chadema imenunuliwa 10 billion, Mbowe kapokea malipo.
Tunaomba kujua Mbowe amerudisha pesa? CCM imenunuliwa kwa bei gani?
Siasa za Tanzania tamu sana.
Dua lakuku , inayokufa ni hiyo saccos ya ufipa.Chama kikongwe kinachojifia "Natural Death" na Chama Chenye Damu za Moto ambacho hata Risasi za moto zimeshindwa kukipooza.
Kipi kitakuwa ghali
Uhame ccm , chama imara cha siasa uhamie ufipa saccos , no Big no.Ndugu zangu Watanzania huu ndio wakati Muafaka wa kuihama CCM na wala msijihusishe nayo na wala msiipie Kura iogopeni kama ugonjwa wa Ukoma.
Utafananishaje chadema na ccm?Kama kweli aliweza kuinunua chadema ,atashindwaje ccm chama cha makanikia .
Si mnamuamini tundu lisu? si alisema mmemsafisha si fisadi tena? akili ya nyumbu bana
Sote runakumbuka Vividly wakati Lowassa alipogamia CHADEMA tuliambiwa huku watu wakiapa viapo vya Miungu yao bila hata ya aibu Usoni
Hayaaa hayo yalipita Ping imekuwa Pong je Lumumba nayo Karudi Kwa kiasi gani?
Huko nyuma tuliambiwa Ooh!! Mwenyekiti Mhe Freeman Aikaeli Mbowe Kavuta Billioni sita Kaenda kuzichimbia Dubai na kwamba Dubai ana akaunti kibao kwa hiyo CHADEMA ni SACCOs yake Binafsi...Mara Ooh!..yeye na BAmkwe wake.
Mambo yameshadhihirika kwa wananchi CCM ilikuwa ikiwalisha Shubiri Mwitu wakishushia na juisi ya Matango Pori..
CCM kimeishiwa Mbinu na Uongo na huwa wanaamini ili Upate Uongozi lazima uwe Muongo.
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kimesingiziwa mengi ila sasa ni zamu ya wananchi kutafakari kura zao walizipoteza kwa kuitumbukizia CCM mimi Binafsi najuuuta ba Kusaga Meno kwanini niliitumbukizia CCM
Ila Never Again!
Peoples Power
Azimio la Zanzibar 2 ni lini litafanyika tunalisubiri kwa hamu.
Weka Akiba ya maneno
Mimi ni mwana CCM ninayekitakia chama changu mema na nchi yanyu.
Huko nyumbani wamekula trilion 1.5 kwa kugawana nao si wahuni?Mzee kaamua kurudi nyumbani, kaona alipohamia ni uhuni tuuView attachment 1035352
Sent using Jamii Forums mobile app