1.Umati uliokuamini umewasaliti hawatakuja kukusahau wewe na kizazi chako chote! Umeingia kwenye historia
2. Kuna watu waliumia,kufa kwa kukupigania ukiwa ukawa unawaambiaje
3.Katika umri wako unahitaji nini lakini ninaamini sio cheo tena! Watu maarufu kama wewe hujenga heshima kwa maamuzi waliochukua na kuweka historian
4.Hao hao waliokwambia urudi kuanzia leo wanaanza kuwa maadui zako wapya hawakawii kukwambia unawasaliti na kutengeneza genge lako ndani ya chama
5. Umma mkubwa wa vijana wanaotarajia kufanya maamuzi makubwa ktk maisha yao umewaacha njia panda! Wanashindwa kuelewa kbs ni kama wamepigwa butwaa
Mwisho
Uamuzi pekee wa heshima ambao ungekuweka kuwa shujaa na kuenziwa milele ni " kustaafu siasa na kuwaacha vijana waendelee" Mimi si mtu wa karibu na wewe lkn nina uhakika uamuzi ulioufanya inawezekana hata mkeo hakukuunga mkono!
Kuna watu umewadhoofisha sana Lowasa, hujawaumiza eti kwa sababu ya kurudi ccm bali je haya ndio maamuzi mtu anaweza kuyafanya mtu ktk maisha?????
I bet you'll never enjoy anymore! What will you tell the people who put trust in you?
Imesononesha saana
Aliekushawishi ukakubali amekuharibia sana heshima yako
Daa , kila la kheri mkuu