Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nA ndicho kilichobaki upinzani KUJAMBISHA na sio harakati za kuchukua nchi na ktk kujambisha hakika Wanajitahidi ila kuichukua nchi Labda mawingu yae ya ZAMBARAU.Tunaangalia na anae hama ana nini??tukisikia tundu anahama kweli tunaweza kumkatia hata rufaa kwa lazima(teh teh)..ila hata muhame woootee wakibaki wa3 tuu wenye ubora inatosha kabisaa kuwajambisha,.😝😝😝
Nakuona kwenye ubora wako hapo unabembeleza buku 7
Tusiandikie mate. Wino upoMpinzani tishio kwa magufuli 2020 ni lissu na endapo uchaguzi utakuwa ni huru na wahaki, maana mnategemea posisi na tume kushinda
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui Dr.Slaa huko aliko, alichokiita choo kimefumfuata aliko, hakika siasa si kitu kizuriDr Slaa itabidi arudi CHADEMA sasa,maana "Fisadi" amerudi kwenye zizi lake
kaka siasa ni kitu kingneAngalau umepata content ya kuvuta watembeleaji kwenyi tovuti yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati tulipoasi Chadema ile dakika mlipomuasi Dr Slaa sababu ya huyu jamaa tulitukanwa sana. Naomba niseme kwa nia njema na ya dhati kabisa. Tuombane radhi maisha yasogee otherwise hatuisaidii Tanzania. Zile hatua za 2015 yalikuwa makosa ya karne, kubalini tujipange upya wakuu. Hakuna haja ya kushupaza shingo.
Sent using Jamii Forums mobile app
With all the due respect. ..
I say go man..go..Unanusuru mali zako na kwa watoto wako....
Maana awamu hii wenzio "wanashughulikiwa" vilivyo
Mlishamtakasa
Kwani ni lini lissu aliwahi kuwa ccm?Makamanda jiandaeni kisaikolojia hakuna lisilowezekana chini ya jua.
Maendeleo hayana vyama!
Tulimtukana ndio kwa muktadha wa kipindi kile...nyie mlikanusha kwa hiyo na mimi nakanusha ha ha ha