Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Mabadiliko haya ni kumnusuru mkwewe Lowasa -SIOI SUMARI , unbailable offence of money laundering, mtu akikuahidi kuwa nitafuta kesi, if it were you, what will be your option!?
 
Tunaangalia na anae hama ana nini??tukisikia tundu anahama kweli tunaweza kumkatia hata rufaa kwa lazima(teh teh)..ila hata muhame woootee wakibaki wa3 tuu wenye ubora inatosha kabisaa kuwajambisha,.😝😝😝
nA ndicho kilichobaki upinzani KUJAMBISHA na sio harakati za kuchukua nchi na ktk kujambisha hakika Wanajitahidi ila kuichukua nchi Labda mawingu yae ya ZAMBARAU.
 
Mbona anauliza majibu, huko shule ulienda kusomea ujinga. Ndege wafananao huruka pamoja. LOWASA, MAGUFULI na uptevu wa trillion zetu ndio CCM kamili hiyo, chama la MAFISADI.
 
Wengine tulitegemea hili,binafsi sijashtuka wala nini anerudi jwaajili ya maskahi ya biashara zake kama alivyofanya masha na fastjet lkn kaambulia patupu.poor lowasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha..mie kwa kweli siku hizi simuamini wala siamini neno la mtu yoyote hasahasa watu wazima....namsikiliza na kubaki na uelewa wangu...
Hivi kweli mtu wa kawaida na kwa maneno aliyosema na aliyosemwa na watu haohao wa ccm angeweza rudi kweli...Kipindi yuko ccm watu wazima wenye uelewa kabisa walipiga kelele kwamba ni fisadi halafu kaingia chadema wale waliokuwa wakiomponda wakaanza msafisha halafu wale wa zamani (ccm) wakaanza kumponda...then karudo huko hao waliokua wanamponda wamempokea tena....tusubiri upande wa pili...
Lowasa kwa vituko vyake hivi ameharibu sifa zake ....mm ningekua mtu wa familia yake ningemshauri astaafu siasa tu...atulie ale uzee kwa amani....


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naungana na wewe makosa yalifanyika, na Dr Slaa alikili kabisa kwamba Chadema imepokea mzigo. " Lowassa ni Asset au liability? " Je! Kurejea Kwa Lowassa CCM kutafanya maisha kusogea?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maskini mzee wa watu,bora amkomboe mkwe wake.Kwa hali ilivyo,bora ajirudishe ccm kwamana siku zinaenda,na umaarufu/thamani yake inapungua.
 
Mlishamtakasa

Ni Wakati wenu kumtakasa ,mna Mamlaka ya kumfungulia Mashitaka kama mlivyo kuwa mkihubiri kwa Wananchi juu ya tuhuma mlizo mvisha za Ufisadi.Mnge mpeleka Mahakamani walau tunge waelewa.

Kinacho fuata ni Mkwe wake kuwa Huru ..🙄
Shilingi haiwezi kupanda Thamani kwa kuwa changanya Wananchi kwa Maneno Maneno tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…