Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Msitusumbue na nyuzi zenu za Lowassa kurudi CCM, tupo kwenye msiba wa Ruge, msiba wa taifa! Full stop...
 
Ni kweli ila timing ni mbaya. Ukweli haufichiki, lowassa alikuja na watu kama popular votes.
 
Lowassa ndio kajimezesha kwa Ruge ili watu wasijadili kurejea kwake CCM.

Kwa matukio ya kesho pale Karimjee Lowassa ndio atasahaulika kabisa na atakia kwenye midomo ya makamanda wa Ufipa tu!
 
Hivi Dr Slaa yupo CCM ma serikalini, Lini Dr Slaa alijiunga na CCM.
Sasa nadhani rafiki yangu nayemuheshimu Dr Slaa atarudi CHADEMA,maana asiyempenda kaja.
 
Hiyo kambi ya akina Nape na Membe zinamuhitaji sana mzee kuliko yeye anavyozihitaji! Huoni kaacha neema ya kisiasa chadema?japo vijana wake walisharudi "kwao" ila Fedha yake imeliwa barabara!! Alikuwa amepewa Tour ya bei mbaya!!!
 
uyo mbowe kaivuruga chadema kwa tamaa za pesa za lowasa mpaka kamanda dr. Slaa akaondoka. akitoka jela akampigie magoti dr silaa ili arudi kukijenga chama yaani chadema ya mbowe na lowasa imekua kiboyo kuliko act ya zitto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…