Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Msitusumbue na nyuzi zenu za Lowassa kurudi CCM, tupo kwenye msiba wa Ruge, msiba wa taifa! Full stop...
 
Mkuu Lowassa Sasa hivi hamna haja ya kuhangaika naye,sasa hivi Upinzani wanadeal na Magufuli.Na Lowassa Sasa hivi hatakuwa active kwenye Siasa.Sanasana CDM walikuwa na wakati mgumu 2020 kama EL angeendelea kubaki Upinzani maana Kwa Sasa kiukweli pumzi ya kugombea 2020 ilikuwa ndogo na je angeng'ang'ania kugombea ingekuwa shida.Hapa katikati CDM iliyumba mno,sasa ni muda wa kujipanga upya

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli ila timing ni mbaya. Ukweli haufichiki, lowassa alikuja na watu kama popular votes.
 
Ikiwa taarifa za kifo cha huyu ndugu yetu Ruge zimesambaa kila kona, basi taarifa za huyu babu yetu Lowasa
-zimesambaa
-zimefika kote kila kona
-kila mtu anahitaji kuzijua na kuzifahamu kwa undani. si kijijini wala mjini!
Siyo jijini wala shambani, kote wanauliza "Lowasa kafanya nini?"
Mods hii ni "thread jitegemea" tafadhali isiunganishwe wala kupelekwa kokote.
Uzi tayari
Lowassa ndio kajimezesha kwa Ruge ili watu wasijadili kurejea kwake CCM.

Kwa matukio ya kesho pale Karimjee Lowassa ndio atasahaulika kabisa na atakia kwenye midomo ya makamanda wa Ufipa tu!
 
Hivi Dr Slaa yupo CCM ma serikalini, Lini Dr Slaa alijiunga na CCM.
Sasa nadhani rafiki yangu nayemuheshimu Dr Slaa atarudi CHADEMA,maana asiyempenda kaja.
 
Inawezekana unachosema mkuu!

Ila lile zee watu wanalichukulia kua ndio limekufa na Jiwe aka-relax,anaweza kuumia!

CCM mle kuna kambi mbili,kambi ya jiwe haina watu wengi sana,kuna ile kambi ya akina Nape,Membe,January,etc,ile ina watu kibao na jinsi Lowassa kaingia,wanaweza piga fitina chini kwa chini Jiwe akajikuta hayupo kwenye kura!

I smell something here!
Hiyo kambi ya akina Nape na Membe zinamuhitaji sana mzee kuliko yeye anavyozihitaji! Huoni kaacha neema ya kisiasa chadema?japo vijana wake walisharudi "kwao" ila Fedha yake imeliwa barabara!! Alikuwa amepewa Tour ya bei mbaya!!!
 
uyo mbowe kaivuruga chadema kwa tamaa za pesa za lowasa mpaka kamanda dr. Slaa akaondoka. akitoka jela akampigie magoti dr silaa ili arudi kukijenga chama yaani chadema ya mbowe na lowasa imekua kiboyo kuliko act ya zitto.
 
Back
Top Bottom