Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Hapana aisee mie siipendi siasa wala sitaki kuwa mwanasiasa lakini kuona nchi yetu inasambaratishwa na hili kundi dogo la wahuni na mafisadi ni lazima nipambane nao kitaa na hata mitandaoni hadi kieleweke.

My sweet tuachane na siasa ,bora tufanye yetu lol

Sent using Jamii Forums mobile app
 
siasa ni mchezo wa hovyo sanaa nakumbuka wale waliokuwa wakiimba siku ile dodoma ktk ule ukumbi wao walikuwa wakiimba '' ninaa imaniii na Lowasaaaa nina imaniiii na Lowasaaaaa '' ss sijui itakuwaje
Wote ccm na chadema waliimba huo wimbo.
 
Atasema ni asset ili asipoteze ubalozi ,kimbembe ni kwa Jiwe yaani aliowananga mafisadi Mara baada ya kuchaguliwa kaanza kuwarudisha mmoja baada ya mwingine ,maana yake yeye anawahitaji kuliko wanavyomhitaji yeye .Rostam tayari ,lowasa tayari who is next ?
 
Ingekuwa uchaguzi hauambatani na miguu ya kuku, kuna watu tungewasahau na wasingeibuka haaaata
 
Ni muda wa Lissu au Zitto... Mzee Lowassa acha achunge Ng'ombe zake huko Ccm.

Tunatembea na wakati.
 
Cdm imevunjwa uti wa mgongo,ruhusuni mikutano na shughuri za siasa tuone unavyofikiri kama ni sawa,na zaidi undeni tume huru ya uchaguzi tuone.
 
Na watu wanalupa likea kabisa kwa ulichoandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…