Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Hapana aisee mie siipendi siasa wala sitaki kuwa mwanasiasa lakini kuona nchi yetu inasambaratishwa na hili kundi dogo la wahuni na mafisadi ni lazima nipambane nao kitaa na hata mitandaoni hadi kieleweke.
Safi sana, wenzako tunaogopwa kupotezwa na watu wasiojulikana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You'll be shocked, Zitto? Endeleeni kuwaamini wanasiasa...
Atlist lkn kwa vijana, japo hili la lowasa limechelewa sana kutokea. Upinzani yatakiwa ijijengee heshima yake yenyewe, kwa huyu walikosea sana kumkaribisha lets face it Lissu ndio hope pekee iliyobaki kwa upinzani
 
Sasa wale "ALIPO TUPO" mliobakia si muondoke? Nendeni na mtu wenu maana kaenda kwingine.
 
Reactions: BAK
Sina la kuongeza wala kupunguza bro, we ni maana halisi ya GT. Kongole.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya matukio kwa leo yameniacha mdomo wazi. Wataalamu wa maono naomba msaidie kufafanua uhusiano wa matukio haya.

Mwili wa marehemu Ruge umetua leo kutoka Afrika Kusini

Mbowe ameshinda dhamana mahakamani

Lowassa amerejea nyumbani

Raisi ametoa onyo la kutosumbuliwa kwa wamachinga
 
Watanzania wataacha kuongelea korosho sasa ivi habari kuu lowasa pumbavu zetu wote na wana jf kwa sana pumbavu sisi kila siku tunauziwa agenda pumbavu kabisa mimi meenyewe mtoa mada na kama kufungiwa nifungiwe hatuwezi kuwa eapumbavu kiasi hiki pumbavu sisi each day tunagruzwa alafu tunahisi ccm tutaiweza hatuna akili cdm wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…