Sisi tumesema sna humu, hasa kwenye nyuzi za Paschal Mayalla, Dr. Slaa alikuwa sahihi japo alibezwa lkn kwa hapa upinzani walikosea japo kuteleza sio kuanguka basi waanze upya na Wanaye mtu wa kuwavusha.Mbona hamkusema siku zote ? Iweje leo
"Wamehamishia kinyesi sebuleni" kwa mujibu wa Dr. Mihogo ,sasa naona wamemsogezea kinyesi chumbani kwake kabisaSasa Liability imerudi ilikotoka, kuna mtu aliikimbia anaitwa Dr Slaa, Je sasa ataipokea hiyo liability au ataikubali kama asset?
Nawaza tu
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa kule alipotokea kuna kiongozi mmoja ule wimbo nasikia ulimuuma sanaa akamua kuwatimua timua wote walio kuwa wakiimba ule wimboWote ccm na chadema waliimba huo wimbo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa wale "ALIPO TUPO" mliobakia si muondoke? Nendeni na mtu wenu maana kaenda kwingine.
Nilisema humu, wakurugezi watengeneza tatizo ili mkuu aje atatue ili aonekane mtetezi wa wanyongeHaya matukio kwa leo yameniacha mdomo wazi. Wataalamu wa maono naomba msaidie kufafanua uhusiano wa matukio haya.
Mwili wa marehemu Ruge umetua leo kutoka Afrika Kusini
Mbowe ameshinda dhamana mahakamani
Lowassa amerejea nyumbani
Raisi ametoa onyo la kutosumbuliwa kwa wamachinga
Utapata tabu sana kama siasa huzielewi.
Hakuna shaka kuwa amevuruga mawazo ya wapinzani hasa viongozi wa juu. Wengi watauliza maswali mengi kama: Aliohama nao kutoka CCM wataendelea kuwa naye kama “the fifth column” ndani ya upinzani? Nani ataaminika kupeperusha bendera ya kugombea uras kutoka CHADEMA au UKAWA kama uko hai? Muda uliobaki hadi uchaguzi mkuu 2020 utatosha kwa CHADEMA kujipanga pamoja na kupata rasilimali fedha baada ya sheria ya saa ya vyama vingi kukataza misaada kutoka nje? Amemwaga tindi kali CHADEMA.Mkuu hii point kubwa mno na nimekuwa najiuliza toka nisikie habari hizi.
Lowasa ni mtu mzima sana hajarudi ccm bure bure kuna sababu muda utaongea .
Duh huu ndio upuzi+JPM aongezewe Muda wa kutawala hadi watakapopatikana wapinzani nchini.