Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Mbona hamkusema siku zote ? Iweje leo
Sisi tumesema sna humu, hasa kwenye nyuzi za Paschal Mayalla, Dr. Slaa alikuwa sahihi japo alibezwa lkn kwa hapa upinzani walikosea japo kuteleza sio kuanguka basi waanze upya na Wanaye mtu wa kuwavusha.
 
Lipumba nae anashinda kesi anakabidhiwa Chama

Na Sheria mpya unasainiwa kudhibiti watakaohama chana kugombea

Maalim Seif anajikuta anapotea Sfa ya kugombea Urais 2020

Mambo Mengi Na Muda Ni mChache
 
Wewe hebu fikiria Lissu anataka kugombea na lowasa yupo nini kingetokea ,lazima kwa namba moja au nyingine kingeathiri chama na kuleta taharuki ,sasa mambo yamejiseti yenyewe Lissu njia nyeupe 2020 .Twende na Lissu 2020 .
 
Mashushushu koko wa chadema mnaojitia mko so informed wewe Evarist chahali na mwenzio shushushu koko yeriko Nyerere antenna zenu zilishindwa kunasa mapema muwasitue chadema kuwa Lowassa anarudi CCM leo ? Chadema tukiwaambia huyu chahali na yeriko Nyerere si lolote si chochote wanabisha ona sasa wamekuwa caught by surprise hakuna cha chahali anayejitia jasusi mzoefu wala yeriko Mwandishi wa vitabu vya novel za kijasusi za kidola wote mumetoka kapa.Kama kuna wazungu wanawatumia warudishieni hela zao majasusi conmen na matapeli nyie wewe chahali na yeriko Nyerere wako
 

Ila kusema ukweli, Rais Magufuli anampenda sana Lowassa. Pengine alikuwa timu yake.
 
Haya matukio kwa leo yameniacha mdomo wazi. Wataalamu wa maono naomba msaidie kufafanua uhusiano wa matukio haya.

Mwili wa marehemu Ruge umetua leo kutoka Afrika Kusini

Mbowe ameshinda dhamana mahakamani

Lowassa amerejea nyumbani

Raisi ametoa onyo la kutosumbuliwa kwa wamachinga
Nilisema humu, wakurugezi watengeneza tatizo ili mkuu aje atatue ili aonekane mtetezi wa wanyonge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hii point kubwa mno na nimekuwa najiuliza toka nisikie habari hizi.
Hakuna shaka kuwa amevuruga mawazo ya wapinzani hasa viongozi wa juu. Wengi watauliza maswali mengi kama: Aliohama nao kutoka CCM wataendelea kuwa naye kama “the fifth column” ndani ya upinzani? Nani ataaminika kupeperusha bendera ya kugombea uras kutoka CHADEMA au UKAWA kama uko hai? Muda uliobaki hadi uchaguzi mkuu 2020 utatosha kwa CHADEMA kujipanga pamoja na kupata rasilimali fedha baada ya sheria ya saa ya vyama vingi kukataza misaada kutoka nje? Amemwaga tindi kali CHADEMA.
 
Lowasa ni mtu mzima sana hajarudi ccm bure bure kuna sababu muda utaongea .
Katuni Jan 11.jpg
 
Back
Top Bottom