Tetesi: Edward Lowassa kuongea na vyombo vya habari kesho kwenye hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam

Tetesi: Edward Lowassa kuongea na vyombo vya habari kesho kwenye hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam

Status
Not open for further replies.

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Wakuu,

Nawaletea taarifa hii kama nilivyopokea.

Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania na Mjumbe wa Halmashauri Kuu Chadema Edward Lowassa kuongea na vyombo vya habari Jumatano hii kwenye hotel ya Serena Jijini Dar Es Salaam.

Mkutano utafanyika kuanzia saa 5 asubuhi..

=====
UPDATE: Taarifa hii imedaiwa si ya kweli hivyo thread imefungwa haitaendelea kujadiliwa
 
Wakuu,

Nawaletea taarifa hii kama nilivyopokea.

Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania na Mjumbe wa Halmashauri Kuu Chadema Edward Lowassa kuongea na vyombo vya habari Jumatano hii kwenye hotel ya serena Jijini Dar Es Salaam.

Mkutano utafanyika kuanzia saa 5 asubuhi..
Anaweza kwenda CCM, ...................................
 
Wakuu,

Nawaletea taarifa hii kama nilivyopokea.

Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania na Mjumbe wa Halmashauri Kuu Chadema Edward Lowassa kuongea na vyombo vya habari Jumatano hii kwenye hotel ya serena Jijini Dar Es Salaam.

Mkutano utafanyika kuanzia saa 5 asubuhi..
Ha ha ha ha haaa, inawezekana na yeye ameamua kurudi kule kule alikotoka. Hii nchi bhana hakunaga mfano wake kabisa.

Wacha arudi CCM na yeye apewe ubalozi akamalizie uzee wake huko Ulaya.
 
Kosa ambalo Mbowe na CHADEMA watalijutia maisha yao yote,ndio kosa ambalo vijana wa CCM litawapa wakati mgumu kuliko kipindi chote kama kile kinachotazamiwa Mzee kukiongea kitatimia.

Wale waliosema wanakimbia CHADEMA sbb "mafisadi" wote wamehamia huko,na wale waliosema CCM sasa ni safi sababu mafisadi wapo CHADEMA.

Ili mbegu iote,ni lazima ife,ioze na hatimaye ichipue.Ukweli ni kuwa,maisha ni magumu,uchumi umeyumba,demokrasia imelegea na hakika,haki za watu kuishi zipo mashakani...Katika ukweli huu,hakuna mwenye utimamu anaweza kuupinga...Kuishi Upinzani katika Afrika,ni kukaa jehanamu ndogoo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom