Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha Vipi kamanda mbona namchecheto mapema mapemaWala sitaki hata kumsikia huyu mtu kuanzia leo. Kaniharibia siku hakuna kunacholika wala kunyweka mpaka muda huu. Heri nikapumzike kambi za alshababu!!
Taratibu mkuu. Alshababu huko hakuna kheri!Wala sitaki hata kumsikia huyu mtu kuanzia leo. Kaniharibia siku hakuna kunacholika wala kunyweka mpaka muda huu. Heri nikapumzike kambi za alshababu!!
mnataka kusema naye kanunuliwa?
kwa hiyo mlisimisha mgombea fisadi?Kununuliwa sio lazima uwekewe pesa mfukoni, hata kupewa fursa ya kutotaifishwa mali zako, kutofunguliwa kesi, kupewa cheo nk kote huko ni kununuliwa tu
Yale maandalizi makubwa ya leo yalikuwa kwa ajili yake ila kukawa kuna vitu havijakaa sawaWakuu,
Nawaletea taarifa hii kama nilivyopokea.
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania na Mjumbe wa Halmashauri Kuu Chadema Edward Lowassa kuongea na vyombo vya habari Jumatano hii kwenye hotel ya Serena Jijini Dar Es Salaam.
Mkutano utafanyika kuanzia saa 5 asubuhi..