Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulichoandika ni sawa na sangoma kuvamia chumba inakofanyika operesheni ya obongo na yy kutaka ashiriki kupasuaWadau, amani iwe kwenu,
Ni dhahiri kwamba Lowassa na Sumaye hawana amani ndani ya CHADEMA. Hawana dira wala mwelekeo. Kila wanalopanga halipangiki na CHADEMA hakionekani kuwa chama chenye mwelekeo wa kushika dola.
Kamera ya Lizaboni imenasa kikao cha mkakati wa Lowassa kutaka kujiengua na CHADEMA na kurejea CCM. Kwa sasa anaendelea na mazungumzo makali na baadhi ya wafuasi wake waliobaki CCM ambao wamemgomea kwenda upinzani. Kilichomshtua zaidi Lowassa ni hili wimbi la sasa lililoshika kasi la viongozi na wafuasi wa chama ambao aliona kuwa ni kimbilio lake wakimkimbia na kujiunga na CCM.
Je, viongozi wangu watampokea Lowassa? Mimi nasema wasiwe wepesi kukubali ujio wa Lowassa. Ni vema tukafunga gate valve ili asiruhusiwe kurejea tena chamani. Ameshaivuruga CHADEMA na sasa anataka kurejea tena CCM na kutuvuruga. Tusiruhusu jinamizi likatukumba tena ndani ya CCM.
Kaka rudia kuyasoma maneno yako tena leo halafu angalia na matukio yanayoendelea.WEWE NI UCHUMIA TUMBO NDIYO UNAKUSUMBUA NA LAANA YA KUTAFUTIA KUTEGEMEA NA KUCHUMIA TUMBO....NA MZIDI KULAANI KWA KUTEGEMEA VIUNGO VYA MWILI NA WANA WA ADAM ILI MUISHI NA WATU WOTE WASEME AMINA.
kaburi limefufuliwaHii ungehamishia jukwaa la Utani ingependeza
YametimiaWadau, amani iwe kwenu,
Ni dhahiri kwamba Lowassa na Sumaye hawana amani ndani ya CHADEMA. Hawana dira wala mwelekeo. Kila wanalopanga halipangiki na CHADEMA hakionekani kuwa chama chenye mwelekeo wa kushika dola.
Kamera ya Lizaboni imenasa kikao cha mkakati wa Lowassa kutaka kujiengua na CHADEMA na kurejea CCM. Kwa sasa anaendelea na mazungumzo makali na baadhi ya wafuasi wake waliobaki CCM ambao wamemgomea kwenda upinzani. Kilichomshtua zaidi Lowassa ni hili wimbi la sasa lililoshika kasi la viongozi na wafuasi wa chama ambao aliona kuwa ni kimbilio lake wakimkimbia na kujiunga na CCM.
Je, viongozi wangu watampokea Lowassa? Mimi nasema wasiwe wepesi kukubali ujio wa Lowassa. Ni vema tukafunga gate valve ili asiruhusiwe kurejea tena chamani. Ameshaivuruga CHADEMA na sasa anataka kurejea tena CCM na kutuvuruga. Tusiruhusu jinamizi likatukumba tena ndani ya CCM.
Nakumbuka ulivyompgia deki lowassa, na kuzungusha mikono + kiunoSiyo rahisi
😳Naomba kuuliza kipindi unaandika ulikua aujatumia kilevi chochote kiongozi?
Kama aujatumia nakushauri nenda kweny meli ya wachina haraka sana unamatatizo ya dish kucheza
Wadau, amani iwe kwenu,