Edward Lowassa na Maalim Seif kuhudhuria mechi ya mpira baina ya Simba na Yanga

Na huku atakuwepo nani mbona mmeelezea upande mmoja
 
mbona wana ccm kina nape, riziwani, na wengine kibao wanahudhuria mechi kila siku hamshangai?
 
Je ni sahihi????????, Mkiambiwa kuna watu wana nia za dhati kuivuruga Nchi watu wanatukana
 
Watashuhudia mnyama anakufa... Ngomaaaaaaaaa
 
Kwani mku yale maandamano yao ya ukuta wa matope wameahirisha tena!![emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
hata ahudhurie mechi zote za ligi madaraja yote, ni kwamba 2020 tunampiga supa bila huruma.
bora akae atulie ajilie pesa zake maisha yaendelee
 
Wanataka kuzingua sasa... Wanataka kuja uwanjani Kwa sababu BAVICHA wamewaomba... Kwanini wawaombe kuja uwanjani??? Mpira ni hobby, sasa mtu hana hobby ya mpira maana Yake anakuja Kwa malengo ya kisiasa.... Hii haijakaa sawa
 
Hii imekaaje? Huu ni uchochezi wenye Akili sana.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

"Breaking News:

*Lowassa kuhudhuria Mechi baina Yanga na Simba.*

Hatimae Lowassa amekubali Ombi la Vijana wa Chadema la kumtaka kuhudhuria mechi ya Simba na Yanga, itakayochezwa Uwanja wa Taifa Tarehe 1/10/2016. Lowassa amekubali Ombi hilo na ataambatana na viongozi mbalimbali ambao ni Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe,Mwenyekiti wa NCCR James Mbatia, pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Chadema Tundu Lissu............"

Hahahahahaha kama ni kweli mechi lazima isogezwe mbele hii................!!!
 
Siku ya UKUTA, hapo ndiyo tutaona vituko vya polisi
 
huyu mzee atachanganyikiwa mwenyowe ipo siku ataenda hata kwenye ndodo cup ili kutafuta umarufu.
 
Wao iwe msiba au furaha mawazo yao ni ikulu. Mimi nadhani tuwaache maana zipo njia elfu kumtokomeza muovu na mnafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…