SIASA ZA MAIGIZO NA MBWEMBWE ZIMEANZA MAPEMA. MIMI NIKONAJIANDAA KUDEKI BARABARA NA UWANJA MZIMA. HALAFU NA KUZUNGUSHA MIKONOOOO
NIKONAJIANDAA= NIKO NAJIANDAA
Wewe lazima ujiandae kufanya hayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SIASA ZA MAIGIZO NA MBWEMBWE ZIMEANZA MAPEMA. MIMI NIKONAJIANDAA KUDEKI BARABARA NA UWANJA MZIMA. HALAFU NA KUZUNGUSHA MIKONOOOO
Eti wewe nawe unajiita Great Thinker, duh kazi tunayo!SIASA ZA MAIGIZO NA MBWEMBWE ZIMEANZA MAPEMA. MIMI NIKONAJIANDAA KUDEKI BARABARA NA UWANJA MZIMA. HALAFU NA KUZUNGUSHA MIKONOOOO
Kwani mku yale maandamano yao ya ukuta wa matope wameahirisha tena!![emoji3] [emoji3] [emoji3]Lowassa na Malim Seif kuhudhuria Mechi baina Yanga na Simba.
Hatimae Lowassa na Malim Seif amekubali Ombi la Vijana wa CHADEMA la kumtaka kuhudhuria mechi ya Simba na Yanga, itakayochezwa Uwanja wa Taifa Tarehe 1/10/2016. Lowassa amekubali Ombi hilo na ataambatana na viongozi mbalimbali ambao ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa NCCR James Mbatia, pamoja na Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu
Siku ya UKUTA, hapo ndiyo tutaona vituko vya polisiHii imekaaje? Huu ni uchochezi wenye Akili sana.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
"Breaking News:
*Lowassa kuhudhuria Mechi baina Yanga na Simba.*
Hatimae Lowassa amekubali Ombi la Vijana wa Chadema la kumtaka kuhudhuria mechi ya Simba na Yanga, itakayochezwa Uwanja wa Taifa Tarehe 1/10/2016. Lowassa amekubali Ombi hilo na ataambatana na viongozi mbalimbali ambao ni Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe,Mwenyekiti wa NCCR James Mbatia, pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Chadema Tundu Lissu............"
Hahahahahaha kama ni kweli mechi lazima isogezwe mbele hii................!!!
hv kumbe huyu mzee bado syo maarufu? mbona anafahamika sana....!!!!??huyu mzee atachanganyikiwa mwenyowe ipo siku ataenda hata kwenye ndodo cup ili kutafuta umarufu.
Wao iwe msiba au furaha mawazo yao ni ikulu. Mimi nadhani tuwaache maana zipo njia elfu kumtokomeza muovu na mnafiki.Hii imekaaje? Huu ni uchochezi wenye Akili sana.