anaruhusiwa kama raia wa kawaida. lakin si kama ilivo namna hii, kuweka matangazo mpaka hapa jf kwamba ataenda uwanjani! kuna dalili za kuhusisha siasa na mpira. ndo maana anaweza kuzuiliwa asiende. kama ni kwenda kama watu wengine asinnge anza kuwaalika watu kuanzia leo kwamba atakuwepo uwanjani. angeenda kimya kimya kama kweli lengo lake ni kuangalia mpira tu.Kwahiyo lowassa haruhusiwi kwenda kuangalia Mpira uwanjani
Lumumba mkisikia jina la lowassa bc mnabanwa na tumbo la uharo teh teh teh .. ..Wao iwe msiba au furaha mawazo yao ni ikulu. Mimi nadhani tuwaache maana zipo njia elfu kumtokomeza muovu na mnafiki.
Sijafahamu. BAVICHA wameteuliwa kusimamia mechi hiyo? Kamati ya Lgi imekasimu madaraka yake kwa BAVCHA? Awali viongozi hao wawili walisema hawangehudhuria mechi hiyo?Lowassa na Malim Seif kuhudhuria Mechi baina Yanga na Simba.
Hatimae Lowassa na Malim Seif amekubali Ombi la Vijana wa CHADEMA la kumtaka kuhudhuria mechi ya Simba na Yanga, itakayochezwa Uwanja wa Taifa Tarehe 1/10/2016. Lowassa amekubali Ombi hilo na ataambatana na viongozi mbalimbali ambao ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa NCCR James Mbatia, pamoja na Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu
Mpira nao unavamiwa na wana siasa, wazee wa fursa!Lowassa na Malim Seif kuhudhuria Mechi baina Yanga na Simba.
Hatimae Lowassa na Malim Seif amekubali Ombi la Vijana wa CHADEMA la kumtaka kuhudhuria mechi ya Simba na Yanga, itakayochezwa Uwanja wa Taifa Tarehe 1/10/2016. Lowassa amekubali Ombi hilo na ataambatana na viongozi mbalimbali ambao ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa NCCR James Mbatia, pamoja na Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu
Umeongea kwa unyooonge hadi unatia huruma.Wanaangaika sana
JWTZ pia wanatakiwa wawepo kwenye uwanja wao pale jirani, uwanja wa uhuru wakifanya zoezi.Magufuli na kinana watakuwepo pia
Vipi huko sudan ya kusini salama??Laigwan atawatetemesha watu lazima nirudi Tz nikaangalie hiyo match na mimi
Na penye JPM, siku hiyo Nchemba nae ndani na nape kama waziri wa michezo ndani ya dimba.Wanakaribishwa sana. Mgeni rasmi ni Magufuli
ukuta gani wakati uliojengwa umebomoka kitambo.Siku ya UKUTA, hapo ndiyo tutaona vituko vya polisi
Kwa lipi? Hujitambui wewe...Lumumba mkisikia jina la lowassa bc mnabanwa na tumbo la uharo teh teh teh .. ..
Kwani klabu ya simba ni ukawa?????. Ninavyofahamu mimi ni kuwa EL ni simba ?????Hii imekaaje? Huu ni uchochezi wenye Akili sana.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
"Breaking News:
*Lowassa kuhudhuria Mechi baina Yanga na Simba.*
Hatimae Lowassa amekubali Ombi la Vijana wa Chadema la kumtaka kuhudhuria mechi ya Simba na Yanga, itakayochezwa Uwanja wa Taifa Tarehe 1/10/2016. Lowassa amekubali Ombi hilo na ataambatana na viongozi mbalimbali ambao ni Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe,Mwenyekiti wa NCCR James Mbatia, pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Chadema Tundu Lissu............"
Hahahahahaha kama ni kweli mechi lazima isogezwe mbele hii................!!!
Hivi mkuu bado mpk leo hujaamini umaarufu ndo unamtafuta huyu jamaa!!?huyu mzee atachanganyikiwa mwenyowe ipo siku ataenda hata kwenye ndodo cup ili kutafuta umarufu.
Salama kabisa mkuu japo kuna wakati hari inakuwa tete kdg lakini tunapambana mkuu.vp huko mkuuVipi huko sudan ya kusimkuu.ama??
Upumbavu km huu ipo siku fifa watatupiga bhana kisa wasaka tonge wanakmbzia cheap popularityLowassa na Malim Seif kuhudhuria Mechi baina Yanga na Simba.
Hatimae Lowassa na Malim Seif amekubali Ombi la Vijana wa CHADEMA la kumtaka kuhudhuria mechi ya Simba na Yanga, itakayochezwa Uwanja wa Taifa Tarehe 1/10/2016. Lowassa amekubali Ombi hilo na ataambatana na viongozi mbalimbali ambao ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa NCCR James Mbatia, pamoja na Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu
KweliHawataruhusiwa kuingia uwanjani
Wataitwa wachochezi