Edward Lowassa na Maalim Seif kuhudhuria mechi ya mpira baina ya Simba na Yanga

Edward Lowassa na Maalim Seif kuhudhuria mechi ya mpira baina ya Simba na Yanga

Kwahiyo lowassa haruhusiwi kwenda kuangalia Mpira uwanjani
anaruhusiwa kama raia wa kawaida. lakin si kama ilivo namna hii, kuweka matangazo mpaka hapa jf kwamba ataenda uwanjani! kuna dalili za kuhusisha siasa na mpira. ndo maana anaweza kuzuiliwa asiende. kama ni kwenda kama watu wengine asinnge anza kuwaalika watu kuanzia leo kwamba atakuwepo uwanjani. angeenda kimya kimya kama kweli lengo lake ni kuangalia mpira tu.
 
Lowassa na Malim Seif kuhudhuria Mechi baina Yanga na Simba.

Hatimae Lowassa na Malim Seif amekubali Ombi la Vijana wa CHADEMA la kumtaka kuhudhuria mechi ya Simba na Yanga, itakayochezwa Uwanja wa Taifa Tarehe 1/10/2016. Lowassa amekubali Ombi hilo na ataambatana na viongozi mbalimbali ambao ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa NCCR James Mbatia, pamoja na Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu
Sijafahamu. BAVICHA wameteuliwa kusimamia mechi hiyo? Kamati ya Lgi imekasimu madaraka yake kwa BAVCHA? Awali viongozi hao wawili walisema hawangehudhuria mechi hiyo?
 
Lowassa na Malim Seif kuhudhuria Mechi baina Yanga na Simba.

Hatimae Lowassa na Malim Seif amekubali Ombi la Vijana wa CHADEMA la kumtaka kuhudhuria mechi ya Simba na Yanga, itakayochezwa Uwanja wa Taifa Tarehe 1/10/2016. Lowassa amekubali Ombi hilo na ataambatana na viongozi mbalimbali ambao ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa NCCR James Mbatia, pamoja na Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu
Mpira nao unavamiwa na wana siasa, wazee wa fursa!
 
Ni vizuri itasaidia kuhamasisha mashabiki kujaa kwa wingi, hivyo ni faida kwa tff na serikali kijipatia kodi
 
Hii imekaaje? Huu ni uchochezi wenye Akili sana.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

"Breaking News:

*Lowassa kuhudhuria Mechi baina Yanga na Simba.*

Hatimae Lowassa amekubali Ombi la Vijana wa Chadema la kumtaka kuhudhuria mechi ya Simba na Yanga, itakayochezwa Uwanja wa Taifa Tarehe 1/10/2016. Lowassa amekubali Ombi hilo na ataambatana na viongozi mbalimbali ambao ni Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe,Mwenyekiti wa NCCR James Mbatia, pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Chadema Tundu Lissu............"

Hahahahahaha kama ni kweli mechi lazima isogezwe mbele hii................!!!
Kwani klabu ya simba ni ukawa?????. Ninavyofahamu mimi ni kuwa EL ni simba ?????
 
Ccm walivyo na akili mbovu wanaweza wakamzuia kwamba anaweza akachochea vurugu.
 
Mechi hii ya simba na yanga tarehe 1 october itahusisha matukio kadhaa siku hiyo
1: upandaji wa miti nchi nzima

2: viongoz wa upinzani kuhudhuria mtanange huo

3:UKUTA waliahidi kufanya maandanano yao

[HASHTAG]#yetu[/HASHTAG] macho, tusishangae mechi kuhairishwa kwa 7bu za kiusalama siku hiyo
 
Lowassa na Malim Seif kuhudhuria Mechi baina Yanga na Simba.

Hatimae Lowassa na Malim Seif amekubali Ombi la Vijana wa CHADEMA la kumtaka kuhudhuria mechi ya Simba na Yanga, itakayochezwa Uwanja wa Taifa Tarehe 1/10/2016. Lowassa amekubali Ombi hilo na ataambatana na viongozi mbalimbali ambao ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa NCCR James Mbatia, pamoja na Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu
Upumbavu km huu ipo siku fifa watatupiga bhana kisa wasaka tonge wanakmbzia cheap popularity
 
Back
Top Bottom