Edward Lowassa naye ana ugonjwa wa kusahau?

Edward Lowassa naye ana ugonjwa wa kusahau?

Kama hataki kuandikwa na vyombo vya habari ni vyema akaachana na siasa awe kama mimi. Natamani siku moja akutane na wahuni wa chadema wamzomee. Hapo atatia akili.
mzee una chokochoko. Kwa hiyo cdm wahuni. Sipati picha enzi za ujana wako walikukomaje. Lakini historha itakuhukumu.
 
Back
Top Bottom