Edward Ngoyai Lowassa anaumwa, alazwa ICU Muhimbili

Edward Ngoyai Lowassa anaumwa, alazwa ICU Muhimbili

Inevitable

Senior Member
Joined
Apr 27, 2012
Posts
111
Reaction score
277
Wakuu,

Kwa taarifa za uhakika, Waziri Mkuu wa zamani, Ndg. Edward Lowassa ni mgonjwa na amelazwa Hospitali ya Taifa, Muhimbili.

========
UPDATE:

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa amelazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kufanyiwa upasuaji wa tumbo.

Taarifa kutoka kwa familia hiyo zinasema kuwa kiongozi huyo amelazwa katika hospitali hiyo kwa karibu wiki nzima baada ya kufanyiwa upasuaji.

Mbunge wa jimbo la Monduli, Fredrick Lowassa ambaye ni mtoto wa Lowassa leo amesema baba yake alilazwa katika hospitali hiyo alipopatwa matatizo ya tumbo.

UPDATE 2:

Lowassa amelazwa South Africa na anaendelea na matibabu.
 
Mwenyezi Mungu amjaalie kila la kheri apone haraka ili arejee kwenye shughuli zake
 
Rais wa mioyo ya watanzania na kipenzi cha Watanzania Mungu akujalie afya na Maisha marefu .

If anyone Dislike or hate Lowasa am officially declaring humanity is doomed and faked up!
If anyone Dislike or hate Lowassa? Very poor english grammar! Ungesema If anyone dislikes or hates Lowassa.....Kwa nini usingeamua kuandika tu kwa kiswahili? Hapa tuna kazi na lugha ya Malkia jamani, ukute hapo una digrii na upupu wote huu! Dah!
 
Back
Top Bottom