Edward Ngoyai Lowassa anaumwa, alazwa ICU Muhimbili

Edward Ngoyai Lowassa anaumwa, alazwa ICU Muhimbili

Tunamwomba, kwa unyenyekevu mkubwa, kwa huruma na mamlakanyake yake, Mwenyezi Mungu amrejeshee afya njema mtumishi wake.
 
Nape kama ana akili , huu ni wakati wake muafaka kukimbia na kwenda kumuomba msamaha Edward; asipofanya hivyo laana ya Lowassa itamuandama hadi kaburini!!!
Yeye Lowasa aliwaomba radhi lini Watanzania waliomwamini na kumpigia kura zaidi ya million 6?

Atuombe radhi kwanza Watanzania kabla hajafa, ingawa namtakia afya njema na uhai mrefu zaidi.
 
If anyone Dislike or hate Lowassa? Very poor english grammar! Ungesema If anyone dislikes or hates Lowassa.....Kwa nini usingeamua kuandika tu kwa kiswahili? Hapa tuna kazi na lugha ya Malkia jamani, ukute hapo una digrii na upupu wote huu! Dah!
Acha ukuda wewe kwan wazungu wanaongeaje kiswahili?
 
Una matatizo laana yaLowasa kwa wanae siyo kwa kila mtu
Nape kama ana akili , huu ni wakati wake muafaka kukimbia na kwenda kumuomba msamaha Edward; asipofanya hivyo laana ya Lowassa itamuandama hadi kaburini!!!
 
Back
Top Bottom