Edward Ngoyai Lowassa anaumwa, alazwa ICU Muhimbili

Edward Ngoyai Lowassa anaumwa, alazwa ICU Muhimbili

Wakuu,

Kwa taarifa za uhakika, Waziri Mkuu wa zamani, Ndg. Edward Lowassa ni mgonjwa na amelazwa Hospitali ya Taifa, Muhimbili.
...
Mzee EL tusamee sana... Tulikukosea sana!

Ulipokuwa na nguvu za kuivunja vunja ccm wengi hawakukuelewa. Wakamezeshwa sumu kukuchukia!
Najua ulidhamiria kupambana na mfumo wa ccm. Ulitaka utumie nguvu yako ya mwisho kufanya overhaul ya ccm. Lakini hatukuwa tayari.

Historia inatufundisha kuwa Mara zote mapinduzi ya mifumo ya binafamu huletwa na binadamu si malaika!
Tito Okello, Che Guevara, Mandela, Raila, Kagame, n.k wote hawa ni binadamu si malaika!

Ipo siku tutawatafuta wenye nguvu na ukwasi kama wako tuungane nao kuikwamua nchi yetu kutoka kwenye mfumo dhalimu wa ccm! Sema tutahangaika sana kuwapata!

Ndugu; EL kila mtu anajua uchaguzi wa 2015 mshindi alikuwa nani. Kama siyo udhalimu na uoga wetu wananchi ccm ingekuwa sidelined!

Tukamkosa EL... akaja jiwe na shujaa wa Afrika. Ghafla tukajikuta mikononi mwa Bibi Mchele!

Get well soon, CDE Edward Ngoyayi Lowassa!
 
Rais wa mioyo ya watanzania na kipenzi cha Watanzania Mungu akujalie afya na Maisha marefu .

If anyone Dislike or hate Lowasa am officially declaring humanity is doomed and faked up!
Dah English ya wapi
 
Rais wa mioyo ya watanzania na kipenzi cha Watanzania Mungu akujalie afya na Maisha marefu .

If anyone Dislike or hate Lowasa am officially declaring humanity is doomed and faked up!
Akiwa wazir mkuu, ndege ya uchumi ilipaa.

1643337766635.png
 
Back
Top Bottom