Edward Ngoyai Lowassa

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Edward Ngoyai Lowassa (amezaliwa Agosti 26, 1953) ni mwanasiasa Mtanzania ambaye alikuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kuanzia 2005 hadi 2008, akihudumu chini ya Rais Jakaya Kikwete. Lowassa ameingia katika rekodi ya kuwa Waziri Mkuu wa kwanza kulazimishwa kujiuzulu kutokana na kashfa ya utapeli katika historia ya Tanzania.
 
Edward Ngoyai Lowasa

Mchapa kazi mwenye akili zilizozidi
JUNI 2017The Citizen (Dar es Salaam)
Na Louis Columbia
Dar es Salaam โ€” Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa jana alihojiwa kwa saa nne na polisi kwa tuhuma za kutoa matamshi ya uchochezi.

Lowassa, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, alihojiwa katika makao makuu ya polisi jijini Dar es Salaam kabla ya kuachiliwa kwa dhamana ya polisi.
 
Mwanasiasa pekee aliye kipa nguvu Chama cha Upinzani Chadema kwenye uchaguzi Mkuu mwaka 2015 na kuzoa viti vya ubunge na udiwaani kwa wingi haijawi kutokea kweye siasa za vyama vingi.

lakini pia ndiye mwanasiasa pekee aliye pata kura za Urais zaidi ya 6millioni kupitia chma cha upinzani!!! haijawahi kutokea!
 
Mkuu nini tena. Au Ngoyai katangulia Sayuni?
 
Na ulivyokuwa na sifa sijui unataka kusema au kutabiri nini illa mazwazwa wenzio wa jamii forum lazima uwakamate tu
 

Ufalme wa Mungu unatekwa na wenye nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ