Edward Ngoyai Lowassa

Edward Ngoyai Lowassa

Edward Ngoyai Lowassa (amezaliwa Agosti 26, 1953) ni mwanasiasa Mtanzania ambaye alikuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kuanzia 2005 hadi 2008, akihudumu chini ya Rais Jakaya Kikwete. Lowassa ameingia katika rekodi ya kuwa Waziri Mkuu wa kwanza kulazimishwa kujiuzulu kutokana na kashfa ya utapeli katika historia ya Tanzania.View attachment 2478209
Umesahau rekodi yake kubwa ya kuvinunua vyama vyote vya upinzani vikijiita ukawa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom