Edward Ngoyai Lowassa

Mimi kama binadamu/Matanzania mwenzake, naendelea kumuombea heri na afya tele.

Maana kuna baadhi ya watu walimumchukulia kama mgonjwa ile 2015, cha kushangaza wao ndiyo wametangulia kitambo tu mbele za haki.
 
Maana kuna baadhi ya watu walimumchukulia kama mgonjwa ile 2015, cha kushangaza wao ndiyo wametangulia kitambo tu mbele za haki.[emoji818][emoji817]
 
Mkishindwa hoja mnaishia kutukana because it’s easy lakini bado unashindwa kujibu au kusema fedha za kujengea Shule za Kata na Zahanati zilitoka wapi?

Kila mtu apewe Sifa alizostahili na siyo kuiba kazi za wengine na kusema ni za kwenu!
Unashangaza sana, nimeshajibu pesa zilitoka wapi.

Pia hakuna mahala nilipokutukana, kama nimekutukana onesha hayo matusi
 
Unashangaza sana, nimeshajibu pesa zilitoka wapi.

Pia hakuna mahala nilipokutukana, kama nimekutukana onesha hayo matusi

Ni wapi umejibu fedha za kujengea Shule za Kata na Zahanati zilipotoka? Niwekee post namba kama ukipenda nikasome ulivyojibu, …
 
Mimi kama binadamu/Matanzania mwenzake, naendelea kumuombea heri na afya tele.

Maana kuna baadhi ya watu walimumchukulia kama mgonjwa ile 2015, cha kushangaza wao ndiyo wametangulia kitambo tu mbele za haki.
Duuh, nakumbuka maneno aliyoongea Samwel Sitta na Mzee Mzima aliyekuwa na Afya tele na mazoezi ya hadharani ila wote wapo kaburini hivi sasa

Mungu pekee ndiye ajuaye nani atatangulia na nani atafuata. Ni siri yake
 
Ni wapi umejibu fedha za kujengea Shule za Kata na Zahanati zilipotoka? Niwekee post namba kama ukipenda nikasome ulivyojibu, …
Kuna mahali umezungumzia habari ya Zahanati?

Naona napoteza muda ku argue na wewe, byee.
 
Kuna mahali umezungumzia habari ya Zahanati?

Naona napoteza muda ku argue na wewe, byee.

Sawa kila la heri, lkn ngoja nikusaidie fedha za kujengea Shule za Kata nchi nzima ilikuwa ni matokeo ya Tanzania kama HIPC ( highly indebted poor Countries) kusamehewa madeni baada ya ku-qualify kwa kufanya kwanza home work na kutimiza masharti ya kusamehewa na Paris Club baada ya kusamehewa ilikuwa ni kwamba fedha iliyokuwa itumike kulipia madeni ifanye kazi za kimaendeleo kama kujenga Shule na Zahanati hayo yalikuwa ni masharti ya ku-qualify kusamehewa deni sasa Lowasa anaingiaje hapo wakati Lowasa hakuwahi kuwa Raisi wa JMTZ wala Waziri muhusika ? Na hayo yote yalifanyika kipindi cha Mzee Mkapa (RIP), homework yote ilifanywa na Uongozi wa Mzee Mkapa hivyo kusema
Lowasa ndiye aliyejenga Shule za Kata ni kupotosha na kupora na kujimilikisha kazi walizofanya wengine and that’s not fair, kwa kifupi Shule za Kata ni kazi ya Uongozi wa Mzee Mkapa kwani ndiye aliyefanikisha hata fedha zikawepo!
 
Okay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…