Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana kuna baadhi ya watu walimumchukulia kama mgonjwa ile 2015, cha kushangaza wao ndiyo wametangulia kitambo tu mbele za haki.[emoji818][emoji817]Mimi kama binadamu/Matanzania mwenzake, naendelea kumuombea heri na afya tele.
Maana kuna baadhi ya watu walimumchukulia kama mgonjwa ile 2015, cha kushangaza wao ndiyo wametangulia kitambo tu mbele za haki.
Unashangaza sana, nimeshajibu pesa zilitoka wapi.Mkishindwa hoja mnaishia kutukana because it’s easy lakini bado unashindwa kujibu au kusema fedha za kujengea Shule za Kata na Zahanati zilitoka wapi?
Kila mtu apewe Sifa alizostahili na siyo kuiba kazi za wengine na kusema ni za kwenu!
Unashangaza sana, nimeshajibu pesa zilitoka wapi.
Pia hakuna mahala nilipokutukana, kama nimekutukana onesha hayo matusi
Duuh, nakumbuka maneno aliyoongea Samwel Sitta na Mzee Mzima aliyekuwa na Afya tele na mazoezi ya hadharani ila wote wapo kaburini hivi sasaMimi kama binadamu/Matanzania mwenzake, naendelea kumuombea heri na afya tele.
Maana kuna baadhi ya watu walimumchukulia kama mgonjwa ile 2015, cha kushangaza wao ndiyo wametangulia kitambo tu mbele za haki.
Kuna mahali umezungumzia habari ya Zahanati?Ni wapi umejibu fedha za kujengea Shule za Kata na Zahanati zilipotoka? Niwekee post namba kama ukipenda nikasome ulivyojibu, …
Kuna mahali umezungumzia habari ya Zahanati?
Naona napoteza muda ku argue na wewe, byee.
Yupo kwenye friji kwa sasa11.1.2023 dah lakini kwa nini jamani? Mimi naumiaga tulikuwa tumekaa pale akatokea mmbea dah, anyway!!.
Amefariki JanaYupo kwenye friji kwa sasa
OkayMwanzoni mwa karne ya ishirini, Edward Lowassa alikuwa mtoto wa 4 wa mchungaji Ngoyai Lowassa, ambaye alihudumu kwa muda kama tarish ya utawala wa kikoloni katika Wilaya ya Monduli, mkoani Arusha (wasimamizi wa sheria za vijiji). Edward Lowassa ana ndugu yake anayefahamika kwa jina la Kalaine. Na mmoja wa watoto wake, Frederick Edward Lowassa, ameendeleza urithi wa kisiasa wa baba yake kwa kuwa sasa ni mbunge wa Tanzania. Elimu ya Edward Lowassa Mwaka 1961, Edward Lowassa alijiunga na Shule ya Msingi Monduli [baadaye iliitwa Shule ya Msingi Moringe]. Edward Lowassa amekuwa kiongozi wa bendi katika Shule ya Msingi Monduli na kuchukua CPEE mwaka 1967. Baadaye aliendelea na Shule ya Sekondari Arusha mwaka 1968, ambako alihitimu Cheti chake cha Kiwango cha Kawaida, CSEE, mwaka 1971. Kati ya 1972 hadi 1973, alisoma katika Shule ya Sekondari Milambo kwa viwango vyake vya Juu na alisoma ACSEE yake. Edward Lowassa alipata Shahada ya Kwanza ya Sanaa ya Sanaa na Maonyesho kama Shahada ya Kwanza katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mwaka 1977. Alikutana na John Chilligati na Jakaya Kikwete katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Alijiunga na jeshi mwaka 1978 na kupigana vita vya Kagera, vita kati ya Uganda na Tanzania. Mwaka 1984, Edward Lowassa alipata shahada ya uzamili katika Masomo ya Maendeleo katika Chuo Kikuu cha Bath nchini Uingereza.View attachment 2478413