Edward Ngoyai Lowassa

" Mh. Spika, nilichofanyiwa sio sahihi, napenda kuweka kumbukumbu sawa, nimefadhaishwa sana, nimedhalilushwa sana, nimeonewa sana katika hili.

Mh.Spika there is a wish that I am going to grant, tatizo ni Uwaziri Mkuu,
Ionekane Waziri Mkuu amefanyi hivi, amefanya vile bila kuulizwa!

Mh. Spika nimetafakari sana, kwa niaba ya chama changu, kwa niaba ya Serikali yangu, nimeamua kumuandikia Mh. Rais barua ya kujiuzulu.

Nafanya hivi kwa moyo mweupe kabisa bila kinyongo ili kuonesha suala zima la uwajibikaji"

- Edward Ngoyai Lowassa, (MB)
07/02/2008
Bungeni, Dodoma.
 
Mh.Spika there is a wish that I am going to grant, tatizo ni Uwaziri Mkuu,
Ionekane Waziri Mkuu amefanyi hivi, amefanya vile bila kuulizwa!

Mh. Spika nimetafakari sana, kwa niaba ya chama changu, kwa niaba ya Serikali yangu, nimeamua kumuandikia Mh. Rais barua ya kujiuzulu.
 
Nafanya hivi kwa moyo mweupe kabisa bila kinyongo ili kuonesha suala zima la uwajibikaji"[emoji817][emoji818]
 
Mm nilishituka kidogo nilipo ona hili jina Nika SEMA nini tena......

Atakumbukwa Kwa kutuletea na kusimamia kujengwa shule za kata nchi nzima na chuo kikuu dodoma...Mzee wa maamuzi magumu..
Pia atakumbukwa kwa kusaini memoir of understanding iliyojzipa nguvu taasisi za wakristo kiuchumi dhidi ya taasisi za kiislamu
 
Akiwa KATIBu msaidizi binafsi ,wa waziri mkuu mstaafu John malecela alipata kua mshenga(connector btn ana kilango na John mwenyewe),hii mosi

PILI,baada bunge kupitisha jambo kuhusu magari kampuni toka pale japani ilipewa tenda ikatengeneza mzee J ,anaambiwa na compuni mzee ule mzigo vipi tumpe nani ,akasema nakijana wangu very smart mwachieni yeye ,walivyomwachia akakausha siku Mzee J anauliza dogo vipi hakuna mzigo ,akajibiwa kweli walileta lakini nikasema nizungushie kimtindo biashara imebuma kumbe saundi

Mzee J ,kwakwenda kulalamika Hana kumbukeni baba wa taifa ndo rais ,atasemaje .....ilibakia hadileo salamu tu lakini

Huyo ndo EDO ,afsa maendeleo wa taifa
 
A very touching speech niliyowahi kuisikia Live. Nakumbuka nilikuwa kwa kagari kangu kaduchu.... Mafuta full tank hahahaa
 
Mzee Malecela hakuwahi kumsamehe Edo kwa hili pigo takatifu la chembe ya moyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ