Edward Ngoyai Lowassa

But EL ndio mwanzilishi wa wazo la kuchangisha wafanyabiashara na makampuni ili kujenga madarasa! Na umaarufu aluoupata kwenye hili ulimtisha hata mkuu wake wa kazi na ni mojawapo ya sababu zinazotajwa kuundiwa zengwe mpaka akaachia ngazi
Hata TAKUKURU alitoa wazo yeye akalipeleka kwa BWM akapewa uwaziri wa maji, ikaonekana BWM ndio mwanzilishi....Then awamu iliyofuata akaja kukamatwa yeye kwa Ufisadi wa RICHMOND[emoji1]
 
Nilibahatika kuwepo katika program hiyo na hata ya usajili na kuajiri waalimu wa dharura, maarufu kama ''VODA FASTA''

Idea ya ''Shule kila kata'' alikuja nayo E.N. Lowassa.

MMEM na MMEMKWA alikuja nayo Mkapa baada ya watu wazima na muhimu kwenye chama kulalamika kuwa wana mchango sana kwa CCM ila hawakupata fursa ya elimu.
 
Umeiweka vizuri[emoji1545]
 

Fedha za kujengea Shule za Kata zilitokea wapi kama ni kweli unaelewa?
 
Kwangu Mimi hotuba ya lowassa kujiuzulu ndio hotuba bora kabisa kwa wakati wote

Mwamba anasema mh spika napenda kumpongeza mh Harison George Mwakyembe mwekt wa kamati kwa kusoma hii ripoti bungeni kwa mbwembwe nyingi saana mbwembwe zilikua nzuri mno

" Mh spika mh Herison Mwakyembe ni mwanasheria alikua anafundisha vijana wetu pale chuo kikuu moja ya vitu alivofundisha ni suala la natural justice

Mimi sijaulizwa, kulikua na shida gani ya kuniuliza? Mh spika ofisi ya kamati na ofisi kwangu ni karibu stone throw wangeniita ningeenda kwa hata kwa mguu kama siku hyo kusingekua na gari, lkn kamati imesafiri mpm marekani lkn mtu wanayemtuhumu hawajamuuliza

Nikajiuliza hivi hasa kuliko ili ionekane waziri mkuu amefanya haya tumuondolee heshm au tumwajibishe nikajiuliza ikiwa haya yametendwa kwa mtu ambaye ni waziri mkuu hivi kwa mtu wa kawaida itakuaje?

Nimedhalilishwa saaana nimeonewa sana na nimefedheheshwa saana me nadhani they wish which am going to grant ni uwazi mkuu tatizo ni uwazir mkuu

Nimetafakar saana kwa niaba ya serikali yangu kwa niaba ya chama changu nimemwandikia raisi barua ya kuomba niachie ngazi. Nafanya hivi kwa moyo mweupe kabisa ili kuonesha dhana ya uwajibikaji lakn na kutokukubalian na ungo uliotumika kumsingizia mtu ndani ya bunge.
 
nikajiuliza ikiwa haya yametendwa kwa mtu ambaye ni waziri mkuu hivi kwa mtu wa kawaida itakuaje?
 
Sio kama ni kweli, ni naelewa...fedha zilizotumika kwny program hiyo pamoja na kudhamini wanafunzi wa vyuo vikuu (HESLB) mwaka ule zilikuwa ni za msamaha wa kodi

Lakini haujajibu swali, Fedha za kujengea Shule za Kata zilitokea wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…