Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Wale wote kitu kimoja, lazima wahudhurie....lao mojaHivi na ikitokea msoga crew bila aibu watahudhuria?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale wote kitu kimoja, lazima wahudhurie....lao mojaHivi na ikitokea msoga crew bila aibu watahudhuria?
Hata TAKUKURU alitoa wazo yeye akalipeleka kwa BWM akapewa uwaziri wa maji, ikaonekana BWM ndio mwanzilishi....Then awamu iliyofuata akaja kukamatwa yeye kwa Ufisadi wa RICHMOND[emoji1]But EL ndio mwanzilishi wa wazo la kuchangisha wafanyabiashara na makampuni ili kujenga madarasa! Na umaarufu aluoupata kwenye hili ulimtisha hata mkuu wake wa kazi na ni mojawapo ya sababu zinazotajwa kuundiwa zengwe mpaka akaachia ngazi
Kwani hakua dhaifu 🤔Huyu alitolewa kafara kwa ajili ya kulinda maslahi ya wakubwa, kelele za wananchi zilizidi.
Na kama angeendelea kuwepo basi ingeonekana raisi wa wakati huo ni dhaifu
Nilibahatika kuwepo katika program hiyo na hata ya usajili na kuajiri waalimu wa dharura, maarufu kama ''VODA FASTA''Walifanya mengi lkn Shule za Kata na Zahanati ni kazi ya Mkapa (RIP) na fedha zilitokana na Tanzania kusamehewa madeni wakati tulikuwa kundi lililoitwa High Indebted Poor Countries (HIPC), fedha iliyopatikana ktk HIPC ndiyo iliyotumika kujenga Shule na Zahanati Tanzania nzima, hivyo siyo swala la chuki bali ni ukweli, …
Umeiweka vizuri[emoji1545]Nilibahatika kuwepo katika program hiyo na hata ya usajili na kuajiri waalimu wa dharura, maarufu kama ''VODA FASTA''
Idea ya ''Shule kila kata'' alikuja nayo E.N. Lowassa.
MMEM na MMEMKWA alikuja nayo Mkapa baada ya watu wazima na muhimu kwenye chama kulalamika kuwa wana mchango sana kwa CCM ila hawakupata fursa ya elimu.
Ulabu/ pombeeKikwete alizaliwa 1950 anakaribia miaka 73, Lowassa 1953 anakaribia miaka 70. Ukiwaangalia utadhani Lowassa yupo zaidi ya miaka 80.
Kumbe Ngoyai alikuwa anapiga mitungi..Ulabu/ pombee
Mmoja anapiga ulabu, mwingine Gahawa
Umwoni Mzee Ruksa anavyodunda???
Sanaaa, whisky!!!Kumbe Ngoyai alikuwa anapiga mitungi..
Tena aishi 20000000 lyDaah nikajua msiba,
Ishi sana mzee Lowassa
Nilibahatika kuwepo katika program hiyo na hata ya usajili na kuajiri waalimu wa dharura, maarufu kama ''VODA FASTA''
Idea ya ''Shule kila kata'' alikuja nayo E.N. Lowassa.
MMEM na MMEMKWA alikuja nayo Mkapa baada ya watu wazima na muhimu kwenye chama kulalamika kuwa wana mchango sana kwa CCM ila hawakupata fursa ya elimu.
Angeweza kutoboa, kwani angepata fursa ya kupata matibabu bora huko nje ya hadhi yake!Ndo nasema huyu lowasa angetoboa?
Kwangu Mimi hotuba ya lowassa kujiuzulu ndio hotuba bora kabisa kwa wakati woteMh.Spika there is a wish that I am going to grant, tatizo ni Uwaziri Mkuu,
Ionekane Waziri Mkuu amefanyi hivi, amefanya vile bila kuulizwa!
Mh. Spika nimetafakari sana, kwa niaba ya chama changu, kwa niaba ya Serikali yangu, nimeamua kumuandikia Mh. Rais barua ya kujiuzulu.
nikajiuliza ikiwa haya yametendwa kwa mtu ambaye ni waziri mkuu hivi kwa mtu wa kawaida itakuaje?Kwangu Mimi hotuba ya lowassa kujiuzulu ndio hotuba bora kabisa kwa wakati wote
Mwamba anasema mh spika napenda kumpongeza mh Harison George Mwakyembe mwekt wa kamati kwa kusoma hii ripoti bungeni kwa mbwembwe nyingi saana mbwembwe zilikua nzuri mno
" Mh spika mh Herison Mwakyembe ni mwanasheria alikua anafundisha vijana wetu pale chuo kikuu moja ya vitu alivofundisha ni suala la natural justice
Mimi sijaulizwa, kulikua na shida gani ya kuniuliza? Mh spika ofisi ya kamati na ofisi kwangu ni karibu stone throw wangeniita ningeenda kwa hata kwa mguu kama siku hyo kusingekua na gari, lkn kamati imesafiri mpm marekani lkn mtu wanayemtuhumu hawajamuuliza
Nikajiuliza hivi hasa kuliko ili ionekane waziri mkuu amefanya haya tumuondolee heshm au tumwajibishe nikajiuliza ikiwa haya yametendwa kwa mtu ambaye ni waziri mkuu hivi kwa mtu wa kawaida itakuaje?
Nimedhalilishwa saaana nimeonewa sana na nimefedheheshwa saana me nadhani they wish which am going to grant ni uwazi mkuu tatizo ni uwazir mkuu
Nimetafakar saana kwa niaba ya serikali yangu kwa niaba ya chama changu nimemwandikia raisi barua ya kuomba niachie ngazi. Nafanya hivi kwa moyo mweupe kabisa ili kuonesha dhana ya uwajibikaji lakn na kutokukubalian na ungo uliotumika kumsingizia mtu ndani ya bunge.
Ile hotuba ni laana kubwa kwa Mx0Ga. Asipoisafisha inaweza kumuondoaA very touching speech niliyowahi kuisikia Live. Nakumbuka nilikuwa kwa kagari kangu kaduchu.... Mafuta full tank hahahaa
Sio kama ni kweli, ni naelewa...fedha zilizotumika kwny program hiyo pamoja na kudhamini wanafunzi wa vyuo vikuu (HESLB) mwaka ule zilikuwa ni za msamaha wa kodiFedha za kujengea Shule za Kata zilitokea wapi kama ni kweli unaelewa?
Sio kama ni kweli, ni naelewa...fedha zilizotumika kwny program hiyo pamoja na kudhamini wanafunzi wa vyuo vikuu (HESLB) mwaka ule zilikuwa ni za msamaha wa kodi