Edward Ngoyai Lowassa

Mtanzania pekee mwenye roho ngumu ya kutaka madaraka kwa nguvu ya kipekee alieweza kufanya kampeni hadi akamaliza akiwa chama pinzani akashindwa alafu akaja rudi chama chake sasa
 
Sorry, you might have some cognitive impairment

Huna uelewa

Mkishindwa hoja mnaishia kutukana because it’s easy lakini bado unashindwa kujibu au kusema fedha za kujengea Shule za Kata na Zahanati zilitoka wapi?

Kila mtu apewe Sifa alizostahili na siyo kuiba kazi za wengine na kusema ni za kwenu!
 
Mm nilishituka kidogo nilipo ona hili jina Nika SEMA nini tena......

Atakumbukwa Kwa kutuletea na kusimamia kujengwa shule za kata nchi nzima na chuo kikuu dodoma...Mzee wa maamuzi magumu..
Na hakuwa na kelele za nyuki au chawa. Pia akiwa waziri wa maji enzi za mkapa alifanya maamuzi magumu dhidi ya wamisri
 
Sema kupitia vyama vya upinzani na sio chama
 
Brother unaelewa nini ukisikia mtu anajiita "chawa ?" Sifa ya chawa inajulikana, ukiona mtu anajiita chawa ....

Nb: comment haihusiani na chawa wala nyuki. Ni mifano tu
Nb: comment haihusiani na chawa wala nyuki. Ni mifano tu[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…