Edward Snowden: Jasusi wa Kimarekani alivyopania kumdhalilisha Obama

Snowden yuko kazini. Ametumwa na CIA anachunguza mashirika mengine ya usalama duniani. So Give and take law inahusika.

CIA wanapima info gani watoe wapate IPI inayolipa. Na lengo ni kuyapoteza direction mashirika ya ujasusi ya nchi nyingine.

Zama za kumtumia Osama zimeisha. So wamtumia snowden with different style.

Osama awe hai au amekufa inatusaidia nn?
Think trice 'in out within the box'
 
Nimesoma sana michango ya The Bold na Ontario hapa. Nawapongeza kwa michango yenu Ila inaonyesha wazi kuwa hii kwenu ni kazi na nyie ni wamoja wao!!
 
Daaaamn!Nilivyokuwa nimejiandaa kwa hii ligi ni Mungu tu anajua.
Hata hivyo naona hoja zinapishana,evidence hakuna basi vurugu tupu.

Anyways... As always,am proud of you bae [emoji8] [emoji8]

tatzo wote wawili wamebase kwenye conspirancies theories so hakuna mwenye uhakika na anachokiandika!!........

sio The bold wala sio huyo mwenzake ONTARIO .... wanachokisoma wao ni kile tu ambacho vyombo vya usalama vya marekan vimeamua kuweka public bila kujal ni habar za kwel au za kupikwa

kwaio ishu ya kuona mmoja ana taarifa sahihi kulko mwenzake kuhusu majeshi na taarifa za usalama za mataifa makubwa ya magharibi nadhan ni vichekesho tu........ zaid sana tuwapongeze kwa kujitahid kuleta vitu vipya hapa jukwaan
 

Mkuu hizo laptop,smartphone,saa Mpaka miwani wanaweza kujua uko wapi?
 

Mkuu Wacha hiyo cinema ya Sutherland.
The Bold kaandika story ya CIA huko Iran.
Hao jamaa wa nchi za Magharibi NI balaa.
Halafu ktk majukwaa humu JF tunajizarau Au utasikia "Ngozi nyeusi imelaaniwa" Sasa ngozi nyeupe wanavyo fanya wamebarikiwa ya kuuwa Na kudhulumu watu mali zao
 
Kwaivyo huyu Bwana snow ni mlemavu?

Pia naomba mods mrudishe notifications
 
Currently
Snowden kasaidia trumph kushinda marekani?
The bold help me
kwa ile kauli ya kulaumu "udukuzi" inawezekana jamàa snowden kafanya mambo yake.
 
Marekani mambo yao ni bonge moja la sinema. Kama walitunga kumtumia Osama kuunda kundi ka kigaidi na kisha kujifanya wako dhidi yake, wanasumbua mpaka wananchi kumtafta chini ya ardhi!! Wanalipua watu bila huruma kwa kivuli cha kusingizia ni Osama!!! Wako Serious kumtafuta utafikiri ni kweli kumbe maigizo!!! Kipi kitatufanya tuamini kuwa Snowden hajatumwa kufanya anayoyafanya?!!! Tena kwa Urusi mpinzani wao mkubwa, hofu napata kwamba kwa nini Marekani inakuwa baridi sana kumkamata?!!! Binafsi nipo njia panda, ila muda huwa ni msema kweli siku zote, ngoja upite kila kitu kitajianika chenyewe
 
Huyu jamaa kama ameweza kuisaliti nchi yake kwann warusi wanamwamini kiasi hiki nafikiri ana uhusiano zaidi ya huu na urusi
 
Haya mambo aisee ni very interesting Kiukweli,. Mleta uzi congs
 
Swali la kufikirisha... Je US wapo tayari kuharibu uhusiano wao na mataifa makubwa ili kufanikisha spy mmoja aweze kuidukua Urusi?
Wakimaliza kazi yao wanaomba msamaha na kupatana kama kawaida yao, wakichukulia faida ya udhaifu wa mataifa juu yao ili mradi lengo lao kubwa limetimia
 
Kwa sisi waandishi wa Riwaya za haya makitu tunatizama kwa jicho la tatu huku tukichukua vichache kwa sababu ya kufanyia kazi zetu. Huwa naburudika sana kusoma Makitu haya.
 

Ni wenye akili tu wanamwelewa Snowden .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…