Edward Snowden: Jasusi wa Kimarekani alivyopania kumdhalilisha Obama

Edward Snowden: Jasusi wa Kimarekani alivyopania kumdhalilisha Obama

Wamarekani waanja sana unaweza kuta huyo Snowden wamemtuma wenyewe ....avujshe taarifa alafu wanasikilizia reaction
 
Daah milioni 450 tsh kwa mwezi afu still unakuwa msaliti kwelii watu wana roho ngumu
 
Me nataka kujua hizo siri alovujisha snowden zimewasaidia nini maadui wa marekani na au ni hatua gani zimechukuliwa dhidi ya marekani au mbwembwe tu na kelele urongo nyiingi tu!?
 
Hapo sasa
cbac365baa8c22cc4e62d1debe686816.jpg
 
mkuu uzi wako una ukwel mkubwa ndani yake marekani kwa propaganda wanatisha sana il kwa wa2 wasiojua masuala ya propaganda kwa undani wataona kama uzi wako unazingua ila huo ndo ukweli mkuu
 
Mkuu ni jukumu la jeshi kumkemea na kumpiga marufuku ili lisijitokeze kwa wengine! Ni kinyume na maadili ya kijeshi kwa mtu kutaka utukufu binafsi..

Mkuu nafahamu vipo vitu vingi ambavyo Marekani wanadanganya dunia lakini kwa hili la Osama hapana.. Wadanganye ili wapate faida gani?? Why should they go to such length kutengeneza hoax ya kiwango hiki?? Ili waachive kitu gani??

Ati Osama ni operative wa Marekani??
Wamarekani wana mapandikizi ya kutosha huko mashariki ya kati lakini Osama not one of them..

Tukumbuke watu zaidi ya 3,000 walikufa pale NY siku 9/11.. Ni rahisi kwetu kuongelea kiwepesi wepesi kuwa wamarekani wamejilipua kwasababu hatujui uchungu ambao wamarekani walipitia kwenye tukio lile..

Ati walijilipua ili wakavamie middle east kuiba mafuta!! Really??
Hakuna kiwango cha mafuta kinachoweza kufikia thamani ya ya rasilimali na roho za watu zilizopotea siku ya 9/11.. Ni rahisi kwetu kujadili kirahisi rahisi kwa kuwa hatujui uchungu waliopitia wenzetu.

Kama zikiendelea stori tu pasipo concrete evidence!! Nitakuwa binadamu wa mwisho duniani kuamini Osama yuko hai, operative wa CIA, wamarekani walijilipua.
Mkuu the bold kwanza habari za asubuhi..!!!
Japo uzi na comment yako ni ya mda kidogo labda niulize kaswali kidogo kwamba una uhakika gani kwamba hata hao watu 3000 walikufa kwenye hiyo milipuko??? Je tukisema hata hizo namba zimetengenezwa utatukatalia???
 
oya wana msi quote uzi wote.....tunaotumia simu mnatuzingua bwana........
 
siasa ni mbaya sana mwanasiasa anaweza fanya chochote ambacho kitampa credit kwa wapigakura wake hata ikigharimu maisha ya watu kwake poaa tu. atapandika chuki za kibaguzi kupiia kabila, kanda, dini na hata rangi. US kaiumba mwenyewe sept 11 ililengo lake litimie. mi naamini kabisa Laden bado yuko hai na still anakula salary ya CIA ambao ni mwajiri wake.
 
Back
Top Bottom