kamandawasua
JF-Expert Member
- Jun 6, 2013
- 326
- 86
Nenda Radio Tanzania utaipata,(TBC)Habari zenu,
Je, kwa bahati nzuri nani anayo sauti ya Sokoine akitangaza sheria ya nguvu kazi ya 1983 bungeni.
Nahitaji sauti ya hii hotuba. Kwa aliyekuwa nayo kuna kipooza koo.

Nikienda hapo naanzaje. Naendwa kwa nani anayehusika na haya masuala?Nenda Radio Tanzania utaipata,(TBC)
Ila jiandae kujibu maswali mhimu,unaitaka ya nini?Wewe ni nani or ushughulika na nini ,nk
Mkuu ww nenda ukifika utaeleza shida yako utaelekezwa kwa mhusika na utasikilizwaNikienda hapo naanzaje. Naendwa kwa nani anayehusika na haya masuala?
April 12th 1984hivi Sokoine alifariki mwaka gani?