Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Safari ya vyama Vya upinzani nchi hii ni nzito na ndefu kuliko hilo neno katiba mpyaKapewa kifuruahi kizito itakua...😝
Huyo jamaa ni mtu wa serikali. Alifanya hivyo makusudi kwa maelekezo maalumu. Hao Ngogwe waliambiwa No reforms No election wakaingia kichwa kichwa.Mgombea wa Chama cha ACT-Wazalendo Jimbo la Sumbawanga Mjini, Edwin Kachoma, ametangaza kujiondoa katika kinyang’anyiro cha Ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Akizungumza na waandishi wa habari, Kachoma amesema sababu kuu ya kujitoa ni kukosa ushirikiano kutoka makao makuu ya chama, ikiwemo kushindwa kumpatia vifaa vya kuendesha kampeni kama vile bendera na nyenzo nyingine muhimu.
Uamuzi wa Kachoma unakuja katika kipindi ambacho vyama vya siasa nchini vinaendelea na kampeni huku wagombea wa vyama vingine wakiendelea na mikutano na mikakati ya kuwanadi kwa wapiga kura.
Kweli kabisa, hasa wapinzani wenyewe wakiwa wa aina ya tapeli Mbowe.Safari ya vyama Vya upinzani nchi hii ni nzito na ndefu kuliko hilo neno katiba mpya
Nani angemchagua hata kama angebaki?Mgombea wa Chama cha ACT-Wazalendo Jimbo la Sumbawanga Mjini, Edwin Kachoma, ametangaza kujiondoa katika kinyang’anyiro cha Ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Akizungumza na waandishi wa habari, Kachoma amesema sababu kuu ya kujitoa ni kukosa ushirikiano kutoka makao makuu ya chama, ikiwemo kushindwa kumpatia vifaa vya kuendesha kampeni kama vile bendera na nyenzo nyingine muhimu.
Uamuzi wa Kachoma unakuja katika kipindi ambacho vyama vya siasa nchini vinaendelea na kampeni huku wagombea wa vyama vingine wakiendelea na mikutano na mikakati ya kuwanadi kwa wapiga kura.
Retired anasemaje?Kweli kabisa, hasa wapinzani wenyewe wakiwa wa aina ya tapeli Mbowe.
Bora amejiwekea zake kibindoniNani angemchagua hata kama angebaki?