Edwin Odemba Tafuta Hela Ukodishe Star TV Kwa Mzee Diallo

Saa 3 na nusu ?
Yes,
Screenshot_20240817_211452_Parallel Space.jpg
 
TUNDU LISSU AMEBANANISHWA HAPA KUHUSU KUJIBU HOJA ZA MSIGWA MBONA HAWAJAJIBU HOJA HIZO LISSU ANASEMA AWAULIZE WENYE MAMLAKA SIO YEYE.

DAAH INAONEKANA HOJA ZA MSIGWA NI NGUMU
 
LISSU ANAKIRI KWAMBA ZILE PESA ZA MICHANGO KUTOJULIKANA ZILIPOFIKIA HAILETI PICHA NZURI KWA WATU.

LISSU ANASEMA KWAMBA HAONI SABABU YA ZILE PESA KUFICHWA,ANAULIZWA AMWFANYA JITIHADA GANI KUHAKIKISHA HIZO PESA ZINAKUWA WAZI ? LISSU HAJATOA MAJIBU YA KUELEWEKA.
 
Join the chain yamtoa jasho Lissu. Odemba kambana kisawasawa.
Kambana vizuri saaaana mpaka ncheka hapa.

Anaulizwa wewe umefanya jitihada gani kuhakikish fedha hizo zinakuwa wazi ? Lissu anajiumauma..

Odema kambananisha vyema sana,mpaka lissu anakubali kwamba pesa hizo kutokuwa wazi haileti picha nzuri.

Lissu amekiri pia kwamba kuondoka kwa msigwa ni pigo ila yericko nyerere alisema sio pigo.
 
Ninachompenda Lissu ni mtu mkweli mno huyu jamaa kitu ambacho kinamkosesha sifa ya kuwa mwanasiasa
 
Kabisa mkuu hata mimi nimependa anavyojibu honestly kabisa.

Tkfauti na yericko nyerere alivyokuwa analeta ujuaji na kufichaficha majawabu ya wazi.
Angalia hapo lissu kanyoosha tu kuwa viongozi wa chadema ndio walimleta abdul kwake wala hakutaka kuficha...baadae tena anasema kabisa ndani ya chadema kuna pesa chafu sana,,,,angeulizwa hilo swali Yeriko angejibu ukweli?
 
Mwanzoni wakati odemba ameanza hiki kipindi alikua sio halisi yeye. Alikua anau Larry king😂😂 Siku zilivyoenda kaona Bora awe yeye Odemba 🙏🙏vizuri sana. Yuko vizuri
 
Angalia hapo lissu kanyoosha tu kuwa viongozi wa chadema ndio walimleta abdul kwake wala hakutaka kuficha...baadae tena anasema kabisa ndani ya chadema kuna pesa chafu sana,,,,angeulizwa hilo swali Yeriko angejibu ukweli?
Kwanini hajataja orodha ya waliopokea hizo fedha?

Unapotoa ushahidi lazima uwe complete. Kama anaweza kumtaja Abdul bila woga, ninini kinamshinda kuwataja hao viongozi/ wanachama wa CDM, hasa ukuzingatia yeye ni Makamu Mwenyekiti?
 
Abdul ndie muhusika mkuu kwahiyo lazima atajwe
 
Angalia hapo lissu kanyoosha tu kuwa viongozi wa chadema ndio walimleta abdul kwake wala hakutaka kuficha...baadae tena anasema kabisa ndani ya chadema kuna pesa chafu sana,,,,angeulizwa hilo swali Yeriko angejibu ukweli?
Asingejibu bwana yericko,yericko hana uweledi nilimuona kwemye mahojiano yake majuzi.

Lissu ni muwazi sana japo naye alijaribu kupiga chenga ila amejitahidi kwauwazi sana kweye mahojiano yake.

Hiyo pia imetokana na maswali ya muandishi kuwa very clear
 
Back
Top Bottom