Edwin Odemba Tafuta Hela Ukodishe Star TV Kwa Mzee Diallo

Edwin Odemba Tafuta Hela Ukodishe Star TV Kwa Mzee Diallo

Ushauri ni mzuri ila huyu jamaa haingii hata nusu kwa yule jamaa mwingine wa star tv nae huwa anakipindi chakuhoji viongozi sijui anaitwa nani
 
Chunga tamaa mbaya tamaa mbaya.
Juzi mpaka amaetoa machozi baada ya Dr Emmanuel Nchimbi kutohudhuria kipindi vchake cha mdahalo pale maktaba za UDSM.

Ndiyo maana nasema huyu Odemba ainunue Star TV, anaipenda kuliko hata Diallo mwenye mali yake
 
Back
Top Bottom