Ee Afrika! Nakuita bara tukufu lenye watu wabinafsi sana

Azimio la kazi

Senior Member
Joined
Jun 7, 2023
Posts
138
Reaction score
452
Afrika ni wewe uliepewa madini kama dhahabu, almasi, chuma na vito vingi vya thamani.

Ni wewe Afrika uliebarikiwa misitu yenye uwezo wa kuzalisha mbao bora lakini ajabu hadi sasa watoto wanakosa madawati shuleni.

Afrika ni wewe uliebarikiwa mafuta na ges lakini bado uhakika wa umeme ni tabu tupu.

Na kushanga Afrika uliepewa mito, maziwa na bahari lakini hadi sasa raia wako Hawana huduma bora za maji.

Afrika Afrika ni wewe pekee uliepewa ardhi yenye rutuba lakini hauna uhakika wa chakula.

Afrika Afrika wewe ulipewa wanyama pori na milima mkubwa lakini yote hayo hayana faida kwako.

Afrika na kushanga sana, wewe ulie jaa mapinduzi ya kijeshi.

Ni wewe Afrika unaerogana. Ni wewe Africa mnauwana nyie kwa nyie kiss dini na ukabila.

Afrika nilipozaliwa nilikupenda sana, lakini nime choka kukaa Kwako acha niende huko ulaya ni kaishi kama mtumwa tu, kuliko kukaa Kwako.
 
"Africa is dying because we are electing thieves to be the leaders of our countries."
Prof. PLO Lumumba.
 
Back
Top Bottom